Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
- Thread starter
- #41
mtoto mdogo wanamvalisha hirizi akikua lazima awe mchawi!
chezea waswahili wewe, mtoto ataamin ushirikina balaa
mtoto mdogo wanamvalisha hirizi akikua lazima awe mchawi!
Msihukumu msije mkahukumiwa... Unakitazama kibanzi kichokoko ndani ya jicho la mwenzio wakati kwako kuna boriti... Heri mtu yule asiyeenda katika shauri la wasio wala hakuketi barazi kwa wenye mizaha...
haya bhana. Naona unatafuta huruma kutoka kwenye maandiko
kwan ujuh tanzania inaongoza duniani kwa raia wake kuamini uchawi??
hivi mpaka leo hii bad owatu wanawavalisha watoto hirizi pamoja na maendeleo ya Ki-teknolojia!
Hata humu unaweza kukuta kuna watu wazima wamevaa hirizi achiliaq mbali kuwavalisha watoto.
Ni mapambo ya jadi tu mkuu sawa na kuvaa bangiliMbona huyo mtoto ana hirizi mkononi?itakuwa baba ana imani za kishirikina!
hivi mpaka leo hii bad owatu wanawavalisha watoto hirizi pamoja na maendeleo ya Ki-teknolojia!