Jamani hii picha imenihuzunisha

Jamani hii picha imenihuzunisha

Hey go pee and sleep, I have no time to urge with lowly minded douchebag like you!

tulia sindano ikuingie watu tunaijua bible vilivyo unakuja na vimistari vyako vya ajabu ajabu... ww kama ni miongoni mwa waliotoa mimba nakushauri fanya maombi utubu.
 
Asiye na dhambi na aanze kumpiga mawe....

unakimbilia kutaja vifungu vya biblia vp naww ni mhanga nn?
Mkuu kama umewahi kutoa mimba nenda kavae gunia anza kutubu. Ile damu isiyo na hatia itakulilia milele...

Unapotoa mimba unailazimisha nafsi ya mtoto kuitoa kabla ya mda wake hvyo roho yake inakuwa inalandalanda inakosa sehem ya kujihifadhi inaanza kukulilia ww.
 
Hirizi mkononi ni kuendekeza uchawi

Kwani hujaona ile ripoti ya nchi za africa zinazoamini ushirikina ni nchi gani inaongoza???

Mijitu kama hiyo ndo inatuaibisha coz kila siku kwenye magazeti af haifikirii jinsi ya kujiweka.
 
unakimbilia kutaja vifungu vya biblia vp naww ni mhanga nn?
Mkuu kama umewahi kutoa mimba nenda kavae gunia anza kutubu. Ile damu isiyo na hatia itakulilia milele...

Unapotoa mimba unailazimisha nafsi ya mtoto kuitoa kabla ya mda wake hvyo roho yake inakuwa inalandalanda inakosa sehem ya kujihifadhi inaanza kukulilia ww.

bora umwambie mkuu maana nimebishana nae naona hanielewi ameshupaza shingo
 
unakimbilia kutaja vifungu vya biblia vp naww ni mhanga nn?
Mkuu kama umewahi kutoa mimba nenda kavae gunia anza kutubu. Ile damu isiyo na hatia itakulilia milele...

Unapotoa mimba unailazimisha nafsi ya mtoto kuitoa kabla ya mda wake hvyo roho yake inakuwa inalandalanda inakosa sehem ya kujihifadhi inaanza kukulilia ww.

Msihukumu msije mkahukumiwa... Unakitazama kibanzi kichokoko ndani ya jicho la mwenzio wakati kwako kuna boriti... Heri mtu yule asiyeenda katika shauri la wasio wala hakuketi barazi kwa wenye mizaha...
 
harafu na yy kaungana na kundi LA wanao mtusi lowasa kuwa mgonjwa
 
Kwani mtoto kuvalishwa hirizi ni uchawi ?? Au ndio utamaduni Wa MWAFRIKA?? naomba mnisaidie
 
Nimeidharau siasa tangu niliposikia huyo wema, na wasanii wenzake kama aunt ezekiel, wolper, shilole na irene uwoya walipojihusisha na harakati za kusaka uwakili. Yaani nao pamoja na dharau walizojijengea kwa watu halafu wanataka waitwe waheshimiwa!!!.

Hilo la kwenye mada analijua yeye kwa kuwa ni jambo lake binafsi.
 
Acheni kudharirishana dada zangu,simpendi Wema kusapoti Magamba ila kwa hili hapana.
 
mtoto mdogo wanamvalisha hirizi akikua lazima awe mchawi!
 
Back
Top Bottom