mbozimbozi kumwitu
Senior Member
- Mar 8, 2025
- 156
- 189
- Thread starter
-
- #41
Sawa mkuu nimekuelewa mbna unapanic sana mkuu.kuuliza sio ujinga mkuuWatanzania bhana,..vitu vya kitaalamu wanakuja kuuliza humu. Mtu anaumwa badala ya kwenda hospital kufanya check upa na kupata matibabu anakuja humu kuulizia dawa. Hivi unaweza kuigundua almasi kwa kupost picha?! Vitu vingapi vinafanana na almasi, si vingi tu?! Mkuu uko serious kweli?!π€
Maabara za Madini special kwa ajili ya mambo kama hayo zipo kila kona si upeleke wakufanyie analysis wakupe majibu ya uhakika badala ya kusubiri majibu hapa kila mtu anakwambia anachojisikia.
Hamna bosi hana baya πNdio Yale Yale Unatukana mamba kabla hujavuka mto π
Wew ndugu yangu mim ni ke tena acha matusi mim ni meHalafu kumbe wewe ni KE unajifanya ni ME
Acha kejeri za kijingaRange Lamborghini na ghorofa mbezi nayaona hapo hongera mkuu
Ok sawa mkuuuSio almasi
ππππChukua pitisha kwenye kioo kikikatika ujue yenyewe kisipokatika hewa.
Ila kwa kufifia huko hamna kitu hapo
KweliWatanzania bhana,..vitu vya kitaalamu wanakuja kuuliza humu. Mtu anaumwa badala ya kwenda hospital kufanya check upa na kupata matibabu anakuja humu kuulizia dawa. Hivi unaweza kuigundua almasi kwa kupost picha?! Vitu vingapi vinafanana na almasi, si vingi tu?! Mkuu uko serious kweli?!π€
Maabara za Madini special kwa ajili ya mambo kama hayo zipo kila kona si upeleke wakufanyie analysis wakupe majibu ya uhakika badala ya kusubiri majibu hapa kila mtu anakwambia anachojisikia.
Kejeli gani wakati naona almasi au nyie ndio wachawi wenyeweAcha kejeri za kijinga