Jamani hii ni almasi au vipi?

Jamani hii ni almasi au vipi?

Watanzania bhana,..vitu vya kitaalamu wanakuja kuuliza humu. Mtu anaumwa badala ya kwenda hospital kufanya check upa na kupata matibabu anakuja humu kuulizia dawa. Hivi unaweza kuigundua almasi kwa kupost picha?! Vitu vingapi vinafanana na almasi, si vingi tu?! Mkuu uko serious kweli?!🤔
Maabara za Madini special kwa ajili ya mambo kama hayo zipo kila kona si upeleke wakufanyie analysis wakupe majibu ya uhakika badala ya kusubiri majibu hapa kila mtu anakwambia anachojisikia.
 
Back
Top Bottom