Jamani hii ngoma inabamba sii mchezo!

Straight corner

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
385
Reaction score
132
Binafsi huyu jamaa namkubali sana, hii ngoma yake mwanzo mwisho ni mzuka fulllll! Check watoto wanavyoselebuka!
Special fo ya w'end guys!
Twende kazi;
All the gelz em dey dans galala ……………..
 
Last edited by a moderator:
Hii ngoma ni nomaaaa!!! (Kitu skelewu). Tena ametoa ngoma mpya nzr ya mazingira ya kijijini+mira hivi, anademu anajua kucheza kimapoz balaa, jina la wimbo nimesahau. Achana na hawa wa kwetu watupia mademu ndani watuoneshe ma.t.a.ko yao, hawajua hata ma MEN tunamakalio.
 
Inaenda kwa jina la AYE mkuu
 
inaitwa ayeee,naipenda sana hyo nyimbo na shooting yake ya bush
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…