Jamani hii kitu ni kweli kwamba eti...

Jamani hii kitu ni kweli kwamba eti...

Itabidi tukawaulize wazazi wa hawa vijana wawili wateule wa Sizonje kama waliwahi kufanya kaeksiperimenti haka kwa hutu tujamaa.
 
Kwahiyo sisi tunaopendwa na kung'ang'aniwa na Paka ni Walozi / Wachawi / Washirikina / Wanga? Tutake radhi haraka.
Umenielewa vibaya mkuu, nina maana ya kwanini wachawi hupenda sana kuwatumia paka, hususani arusi na si mtu kupendwa na paka akawa mchawi, mlozi nk.
 
Nataka Mshana Ndugu yng wa Lushoto aje humu kunieleza kwa nn kweny mambo ya kishirikina wanamtania sanaa

Mana hili nimeliona shm nying sana. Kulikon Jr
 
Miss Chagga,
Naomba, mwambie huyo jamaa "Kadhi Mkuu" ajipeleke mwenyewe kule Mabepwande aiseee!

Mwambie, nimkute kule Mabepwande akiwa amejiteka mwenyewe ili sisi tufanye operation tu ya bila ganzi wala vipimo.
Nimeshamwambia
 
Ndyo maana huwa nashangaa sana mbona paka huwa wananisogelea sana na kunipanda mabegani? Hata nikiwafukuza huwa wanarudi tuu.Pia Uzi huu ni wakuuchukulia serious kwa kuwa mambo ya kiroho huwa tunayadharau sana kumbe yanaukweli ndani yake
 
Nimeshamwambia

Asante, ngoja nichukue vitendea kazi tukutane Basi site muda siyo mrefu aiseee!!

Haaaa haaaa haaaa haaaa teeeh teeeh teeeh teeeh.
Unasababisha nakupenda zaidi we mrembo hadi kadi ya ATM nakukabidhi leo aiseee tukikutana !!

Au kadi ya ATM hutaki!? Haaaa haaaa haaaa haaaa.
 
Paka wengine nuksi..akikutazama kama anakwambia koma kupitapita hapa,unaweza kumsalimia au kumuomba samahani bila kutaka.
 
Nakubali kabisa binafsi Nina paka nimemlea toka ndogo sasa kakua MTU mwenyewe roho mbaya paka hya hamsogelei hata kidogo..nikitoka job anakuja kunilaki.paka ni viumbe wa ajabu sana.ndio mana huwez waona wakinjunjana.
 
Inasemekana kwamba Paka ndiyo Mnyama pekee ambaye anaweza kwa haraka sana kutambua ama roho mbaya ya Mtu au roho nzuri yake na kwamba huweza kukutambua kwa muda wa kati ya sekunde tatu hadi tano tu kukujua.

Ni kwamba kama ukiwa mmekaa Watu wawili na kuendelea kisha mara ghafla akatokea Paka na kwamba ukimwona tu huyo Paka anawatembelea ( kuwapapasa ) sana Wenzio pale tena bila wasiwasi huku Wewe akikuchunia jua ya kwamba tayari anakuwa ameshajua Kipaji cha Upendo cha wale wenzako na pia kukijua Kipaji chako cha Roho mbaya iliyokutukuka.

Hii kitu imekwenda mbali zaidi na kusemekana kwamba hata kwa Mzazi ambaye una Mtoto wako mdogo ( Toddler ) kama ukitaka tu kujua haraka jinsi tabia yake itakavyokuja kuwa kama akikuwa basi mchukue Paka kisha msogeze nae na ukiona yule Paka anaonyesha ushirikiano nae vizuri kila mara jua umezaa Mtoto mwema na kama ukiona kila ukijitahidi tu kumbeba Paka na kumweka na Mwanao huyo ama Paka analia au anataka kukimbia au pengine hata Kukung'ata jua ya kwamba umetuletea Tanzania Njemba yenye roho mbaya sana.

Je hili lina ukweli gani Wadau?

Karibuni mtiririke na mserereke.

Shikamoo Paka!
100% true.
 
Hata ukivalia Jeans nasikia Paka kwa ubarikio wao walionao bado wanaweza tu pia kujua taswira nzima ya mwonekano wa Mbunye na ukiona wanakuja sana na yenyewe ni ishara kuwa labda una Mbunye iliyotukuka.
Your a Gt.
Exactly 100%,ndio maana walozi/wachawi wanatumia paka kama tochi yao.
 
Nisivyowapenda na ninavyowaogopa paka acha nionekane nina roho mbaya, Mtu akitaka nisikae kwake aweke paka maana nawaogopa mnoo.
 
Jana nimemtimua mmoja kwenye meza yangu na kampiga teke lakini alirudi
Huyo tumwite paka mapepe[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377]
 
Back
Top Bottom