ligendayika
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,183
- 199
Ukipita katika mitaa mingi ya miji utakuta vijana wameweka computer barazani mwa nyumba, wanaingiza nyimbo kwenye simu na kadhalika. Sasa najiuliza hivi ni lazima kufungulia muziki sauti ya juu kabisa? Kama sivyo mnatukera hivi hamjui kuwa ni sound polution naomba wana JF tujadili hili.