Jamani hawa ma last born watatupasua vichwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani hawa ma last born watatupasua vichwa!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bishanga, Oct 26, 2011.

 1. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,348
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  Wazazi wenzangu jamani hebu tujuzane,nyie ma last born wenu mna wa handle vipi.Wa kwangu yaani pasua kichwa,homework kufanya kwa mbinde,nguo ndo hivo anavaa zimejikunja,ukiingia chumbani mwake utadhani ni Kandahar,chakula ale sahani aache hapo,anachofikiria yeye ni video games,kucheza mpira,sinema,ili mradi basi tu. Toto kubwa la miaka 12 mpaka leo linalialia,yaani.
  Na mamemba humu ambao na ninyi ni ma last born hebu nipeni experience ya makuzi yenu,mahusiano yenu na wazazi na kaka/dada zenu yalikuwaje wakati mnakua? pliz pliz tell me something.
   
 2. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,816
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  dah wangu mie ni 1st n last lakini hayuko hivyo!
   
 3. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,348
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  thank God for that ,ana umri gani?
   
 4. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,138
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Mhhh malezi yako nayo yanachangia mkuu
  Kama ulimlelea kumdekeza hawezi kubadilika kwa muda mfupi
  Kaa nae mfundishe na mpe masuala ya maisha maana ni muda mfuipi ujao ataenda boarding school na ni nani atamfulia na kumuoshea sahani zake
  Na hizo game na video shuleni ataziona wapi
  Mkunje mapema bado mdogo
  Mimi ni last born ila sina hizo aise na wala sikupata malezi ya kudekezwa na wazazi
   
 5. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,432
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  mimi ni last born na niko vizuri tu wa kulaumiwa hapo ni nyie wazazi kwani hayo magame kayaokota si mmempa wenyewe jamani.
  mlee mtoto kwa njia nzuri bwana wala hataicha hadi atakapokuwa mzee
   
 6. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,348
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  Mkuu ilikuwa mijeledi kwa kwenda mbele? mambo magumu sana haya aisee.
   
 7. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,348
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  sasa naanza kuhisi nyie ma last born mnaanza kujipanga mjitetee,ngoja tusubiri waje wazazi wengine na mamemba wengine ambao ni watoto wa kati,kisha tuta compare na kukontrast notisi.
   
 8. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  Mlee kama ulivyolea first born
   
 9. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,348
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  they are just different
   
 10. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,138
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Mkuu ilikuwa ni mapambano kwa kwenda mbele hakuna cha kusema mimi ni last born
  Kwa malezi ya sasa kwa mtoto mjeledi una nafasi yake ila sometimes hausaidii na sana sana unamfanya awe sugu na ahisi kwamba oprion ya mwisho uliyo nayo kama mzazi ni mjeledi na anakuwa sugu wa hiyo mijeledi
  Nafikiri malezi ya kukaa na mtoto kuongea nae maana kwa umri wake ashajua ni kipi anapaswa kufanya na kipi hapaswi kufanya na mpe ukweli kuwa kuna life baada ya baba na mama ambalo linakuja mbele yake
  Ataenda shule atakumbana na watu ambao hawakulelewa kudekezwa watamfanya aione shule mbaya na huko sasa ndo ana chance kubwa ya kufanya madudu ambayo kwako wewe itakuwa ni balaa kama mzazi
   
 11. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,138
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Sidhani kama tunapanga kujitetea maana tungelelewa na magame na video na kuacha vyombo mezani baada ya kula na kutojua hata kufua nguo zetu tusingekuwa hapa kwa sasa
  Walifanya kazi inavyopaswa na ndo maana tuna hili life la sasa
   
 12. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mmh! Mbona even me ni last born! Nilikua mtukutu thosedayz,lakini ukikua unaachana na habari za kulala kwa zizi la ng'ombe!naamini akikua ataacha ila mjenge kiroho maana kwa nguvu zako kulea hutoweza bila msaada wa mungu!
   
 13. u

  utantambua JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Fimbo kidogo hua unatembeza inapostahili? Manake nyie wa mjini ati hamchapi wanenu
   
 14. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,348
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  Unajua Rocky binadamu tunazaa miili hatuzai roho,watoto wa nyumba moja wanakua na kuwa viumbe tofauti utadhania walikutana barabarani, ndo mana wakati mwingine kulea inakuwa ni pata potea,mwingine anachapa mwingine hachapi,mwingine anamjaza ma toy mwingine anamnyima kabisa,mwingine anampeleka boarding akiwa mdogo sana mwingine anasema huendi kokote hadi umalize form six.Mzazi yupi yuko sahihi na yupi hayuko sahihi is hard to tell sana sana uta judge kwa kuangalia final product ambayo ni what kind of a person mtoto ame turn into katika adulthood.
  ndugu yangu ukiona asubuhi asubuhi nimeamka na thread kama hii we jua ni frustrations,sometime you need a place ya kutafuta solace,jf mojawapo.
   
 15. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,348
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  nina watoto wengi tu na wengine wamekwishamaliza chuo wanafanya kazi,i have never in my life picked a mjeledi na kumchapa mwanangu.
  Utotoni wewe ulichapwa? unadhani ilikusaidia? maishani mwangu sijawahi kuchapwa na baba wala mama yangu(RIP wote wawili).Bakora nilikung'utwa shule,tena sa ingine zile za kupigwa vidole na mgongo wa rula na sidhani kama zilikuwa zinanisaidia lolote.I abhore violence ndo mana hata wanawake zangu huwa siwapigi,wakiniudhi nina namna yangu ya kuwaadhibu.
   
 16. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,138
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  I understand bro and kwa mzazi najua nini maana ya hilo unalosema
  Hata wewe mwenyewe ukiangalia malezi mliyolelewa pale nyumbani na wazazi wako yako tofauti sana na upendeleo ulikuwa unaonekana wazi
  Kitu kimoja ambacho huwa naamini ni kuwa mshirikishe Mungu katika kila hatua ya mtoto wako anayokua
  Na kabla ya kwenda hata kuongea nae masuala ya maisha muombe Mungu akujalie hekima na akufundishe kile unachopaswa kuongea na mtoto wako maana unaweza kujikuta unaharibu badala ya kutengeneza
   
 17. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #17
  Oct 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  B' umejiuliza ile kwa ukweli kabisa nafasi yako wewe kwa yeye kua alivo sasa??
  Maana kama video games ndo anapenda, kucheza mpira but responsibilities
  hataki, mie naona hizo ndo zingekua weapons za kumweka katika mstari...
   
 18. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #18
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,348
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  kitu muhimu sana hicho umeshauri,thanks for the thought.Siku zote wazazi tunatamani wanetu wakue wawe na mafanikio,tuna toil,tunaamka usiku kuwapeleka shule,tunafuatilia home work zao,kwa hiyo ina frustrate unapoona katoto wala hakaelewi yaani kanakuwa kapo kapo tu na ku take for granted.
   
 19. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #19
  Oct 26, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,016
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  unmdekeza period
   
 20. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #20
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,348
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  kumnyima sio? yataka moyo,huwa unajisikiaje mwanao anapokuomba kitu tena kwa upole kabisa....mummy please naomba nicheze kidogo...don't you melt inside?
   
Loading...