jamani hata mabibo si hostel?

Sep 29, 2011
16
2
hivi hawa 1st year wa udsm wamekakalilishwa na nani!? Coz kila m2 aliyepangiwa mabibo hostel anataka kuhamia main cumpus,hebu mjaribu kulizika na mlichopata afu hasa waliotoka private xul ndo wanaboa kinoma..aaaaah
 
Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,177
3,326
Sababu nini ya hao vijana kutaka main campus badala ya Mabibo? Ila nadhani usafiri is the one of the factor.
 
Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,483
1,358
Kila mmoja na anachokipendelea jama so waacheni jama
 
Eshacky

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
962
242
Alaf bila loan, miezi dume mtapiga ngondi mpaka mseme hiki nin! Komaeni tu,mlichofata ni kitabu.
 
Ginner

JF-Expert Member
May 8, 2011
1,299
1,000
Oya nipo mabibo....ila kama ntapata mtu wa kufanya nae xchange me niende main.....main ndo kuna shule mabibo vishawishi vingi
 
Apollo

JF-Expert Member
May 26, 2011
4,902
3,079
hivi hawa 1st year wa udsm wamekakalilishwa na nani!? Coz kila m2 aliyepangiwa mabibo hostel anataka kuhamia main cumpus,hebu mjaribu kulizika na mlichopata afu hasa waliotoka private xul ndo wanaboa kinoma..aaaaah

sio first year wote ndio wana mitazamo hiyo. Mimi nimepangwa mabibo and ninaona poa tu.
 
WA-UKENYENGE

JF-Expert Member
Oct 1, 2011
2,920
1,226
I used to stay at main campus bythen, lakini baada ya kuishi mabibo, nilifaulu vizuri sana. So its person's mind. Kama ukiji-tune kuka mabibo hakuna madhara no problem utaenjoy life tena sana huku ukipiga mibanda tu. So guys, don't worry about Mabibo! pangeni ratiba zenu vizuri.
 
Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
2,090
824
I used to stay at main campus bythen, lakini baada ya kuishi mabibo, nilifaulu vizuri sana. So its person's mind. Kama ukiji-tune kuka mabibo hakuna madhara no problem utaenjoy life tena sana huku ukipiga mibanda tu. So guys, don't worry about Mabibo! pangeni ratiba zenu vizuri.
umenena vyema mkuu mimi nishuhuda pia nimekaa mlimani miaka MINNE na nimesoma engineering course mwaka wa kwanza nimeishi MAIN CAMPUS HALL 2 mwaka wa pili aka mwaka dume aka chujio mlimani hasa uhandisini coet nilikuwepo mabibo hostel block D(NANILISURVIVE NA BADO KUNA WATU WALIKUWA KAMPUS WAKACHUJWA NINA MIFANO) . mwaka wa tatu ni kanirudi main campus na mwaka wa nne ni kamaliza MABIBO HOSTEL. NINACHOTAKA KUSEMA NINI . NI HIVI JARIBU KUKUBALI HII HALI PUNDE UPATAPO CHUMBA KWA MAANA KUNA WATU WENGI HAPO HUWA WANAKOSA VYUMBA WANAHAHA WANATAFUTA POPOTE PALE NA WANAMALIZA NA GPA NZURI .
KUNA MITAZAMO HASI MINGI KUHUSU MABIBO HOSTEL AMBAYO WATU WENGI TUNAJAZANA UJINGA PINDI TUFIKAPO HAPO MLIMANI NA INABAKI KWENYE VICHWA VYETU, MIND YOU WEWE NI INTELLECTUAL UMEINGIA KWENYE SOCIETY YA WASOMI ASSUMPTION YA KWANZA WEWE UNAWEZA KUCORP NA MAZINGIRA YEYOTE YA KIMAISHA WAKATI WOWOTE KUTOKANA NA UPEPO WAKO KAMA MSOMI .SASA ISSUE KAMA KUNA VISHAWISHI VINGI, HABARI YA KUGOMBANIA GARI, KUISHIWA BOOM NA KUANZA KUPIGA SHUTTLE PORI KUELEKEA CAMPUS SIO MATATIZO YANAYOWEZAKUFANYA WEWE KUTOISHI MABIBO . KIMTAZAMO MABIBO HOSTEL PAKO VIZURI KIMAZINGIRA (VYOO ,MABAFU ) TENA KAMA UNAKOZI CHACHE UNAWEZA KUPATA MUDA MWINGI KUJISOMEA HUKO UKAENDA ZAKO CAMPUS MCHANA, PIA KAMA MPIGA EXILE MZURI UNAPATA MUDA MAANA WATU WENGI WANAKUWA KAMPUSI(AHAAHAA JUST KIDIN GUYS).UPATIKANAJI WA CHAKULA KIPINDI NASOMA MABIBO HATA UKIRUDI SAA TATU UNAWEZA KUPATA MSOSI TENA WA KWA GHARAMA NAFUU KUTEGEMEA NA MFUKO WAKO TOFAUTI NA KAMPUSI BEI ZIKO FIXED SANA KWENYE CAFETERIA CHAKULA KINAISHA MAPEMA. MAISHA YA CAMPUS UKIACHLIA MBALI KUPATA MUDA WA KWENDA LIBRARY NA KWENYE LECTURE THEATRE KUJISOMEA USIKU NA UNAFUU WA USAFIKIRI(KUEPUKA VURUGU ZA SHUTTKE) HAKUNA JIPYA KWA KWELI MAZINGIRA YAKE NI MACHAFU LABDA KAMA WAMEBADILISHA NOW VYUMBA NI VIDOGO TENA MKIBEBANA DUUH..
SO NDUGU ZANGU PINDI UPATAPO CHUMBA MABIBO AU CAMPUS KUBALI YAISHE TULIZA AKILI UPAFEROM MAISHA YASONGE KWISHA KAZI .
SUALA LA KUWA UMEKOSA MKOPO NAJUA NI ISSUE NZITO USIKONDE I BELIEVE IN SOLDARITY FOREVER HAPO REV SQUARE MPAKA KITAELEKA .WATAPATA MIKOPO TU NA WATAISHI VYEMA .SOMENI NDUGU ZANGU TUOKE TAIFA LETU AMBAO BADO LINA ILLITERACY WENGI
ANGALIZO: UNAPOISHI MABIBO HASA KIPINDI CHA TEST AU UE JITAHIDI SANA KUWAHI MAANA KERO KUBWA NI HIYO FOLENI YA MANDELA ROAD KUTOKA HAPO MPAKA RIVERSIDE UNAWEZA KUCHUKUA HATA 45MINUTES.
NAWASILISHA.
 
mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,790
4,621
kila mtu na anapopapenda lakini nadhani sabababu kubwa ya hawa vijana ni kuataka kupunguza gharama ya usafiri
 
Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
46,516
62,755
hua wakishaenda Mabibo hawataki kabisa kurudi kampasi, umbea mtupu nilipita mitaa ya huko nimewaona bado hawajaweza kuvaa "uchi" naona wamevaa "hijabuz" kama la mkuu wa wilaya.....subiri next semester uende ukaone.
 
Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,022
1,766
hua wakishaenda Mabibo hawataki kabisa kurudi kampasi, umbea mtupu nilipita mitaa ya huko nimewaona bado hawajaweza kuvaa "uchi" naona wamevaa "hijabuz" kama la mkuu wa wilaya.....subiri next semester uende ukaone.

bado hawajalijua jiji mkuu,miezi dume ikifka mbona hayo mahijabu ka ya mkuu wa wilaya ya i.g.u.n.g.a yata2pwa 2.
 
Kanyigo

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
1,028
188
hivi hawa 1st year wa udsm wamekakalilishwa na nani!? Coz kila m2 aliyepangiwa mabibo hostel anataka kuhamia main cumpus,hebu mjaribu kulizika na mlichopata afu hasa waliotoka private xul ndo wanaboa kinoma..aaaaah

achananao hao watoto wa mama.
 
Kanyigo

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
1,028
188
hua wakishaenda Mabibo hawataki kabisa kurudi kampasi, umbea mtupu nilipita mitaa ya huko nimewaona bado hawajaweza kuvaa "uchi" naona wamevaa "hijabuz" kama la mkuu wa wilaya.....subiri next semester uende ukaone.

watafunua wenyewe tena mchana kweupeeee..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom