Independent huku anapiga vizinga kama hana akili nzuri. PIGA CHINIAmegoma katakata. Anadai kwa sasa kuishi na mwanaume ni mapema mno. Anataka kua independent awe na chumba chake, afanye kazi zake na maisha mengine
Vyote hivyo nimefanya lkn dogo ni king'ang'anizi hataki kuachika.Nikuambie kuwa hapo huna mke. Akituma meseji usijibu, akipiga usipokee akitumia simu nyingine ukijua ni yeye kata. Anataka kuwa huru huru yakuwapanga madanga na vidanga. Nina UHAKIKA sio peke Yako unaepigwa vizinga na kuombwa hela ya pango huyo sio demu.
Huyo Binti anaweza akawa Amalia mbele Yako na ukamuonea huruma lakini kitakachokukuta ni balaa. Anataka apange na kukamilisha geto halafu aje ajigambe Kwa marafiki kuwa kazi inamlipa na kwao asifiwe kuwa mpambanaji na hataki wajue kuwa ana backup yako.
Huruma isikuponze jomba HV vilio vya maonesho achana navyo kabisaaHii safari naikatisha mwamba.. Tatizo binti analia lia saaaana
Kama kuna kaukweli hivimoja ya sifa ya malaya ni kutotaka kuolewa mapema
ana sources tofauti za mizinga na kote huko ana offer papuchi
akili kichwani mwako
Ila kutoa papuchi na kuomba hela ya kula ndani ya miezi mitatu fresh tuu?Yeye amesema amhamishe kazi then wakapange waishi wote heeeeeeeee yote ayo miez mitat na wanaume hubadika hurogwa, na mengne mengi ety mm niache kazi niliyofanya mda mrefu nifate mwanaume bora niitwe malaya
Halafu baadae ajigambe na kujiita superwoman [emoji3]Mwanamke mwaminifu shauku yake ni kuolewa.
Lakini mwanamke malaya hataki kuolewa atakupa upendo feki ili aendelee kukuchuma huku analiwa na timu ya watu kibao
Eeeeeee uzuri nmeomba sijamkaba wala sijamuibia yaan katuma kwa mahaba yakeIla kutoa papuchi na kuomba hela ya kula ndani ya miezi mitatu fresh tuu?
Huyo ni chuma uleteHela ninazo za kumhudumia lkn mm nataka ni-push huu uhusiano ufike hatua ya kuishi pamoja lkn anagoma.
DaaahUlivyosema tu amesema nipangie furniture na kila kitu nikajua tu huyu ni mwizi
Superwoman wa mchongo kwa ametoboka mara nyingi kama chekechekeHalafu baadae ajigambe na kujiita superwoman [emoji3]
una date na malaya mzee, kapime ngoma na gono, then tia block kila kona tuliaKama kuna kaukweli hivi
Vyote naweza fanya tatizo ni king'ang'anizi hatariAchana nae. Usimpangie kabisa chumba pia usimpe pesa tena akikuomba
N papuchi umetoa kwa mahaba yako, au sio?Eeeeeee uzuri nmeomba sijamkaba wala sijamuibia yaan katuma kwa mahaba yake
iyo kazi inamsaidia nini ikiwa 90% ya mahitaji anaomba kwa jamaa.Yeye amesema amhamishe kazi then wakapange waishi wote heeeeeeeee yote ayo miez mitat na wanaume hubadika hurogwa, na mengne mengi ety mm niache kazi niliyofanya mda mrefu nifate mwanaume bora niitwe malaya
Niyeye amekuja kujikingia kifua na kupalilia maamuzi yake.Sijaelewa ulichoandika hapo. Nimesoma zaidi ya mara tatu lakini bilabila [emoji848]
Achana naye mpuuzi kwanza wengi wao ili wapate hizo kazi lazima atoe mbususu kwanzaHuyu mwanamke nilikutana nae miezi mitatu iliyopita nikiwa katika harakati zangu za kikazi mkoa flani. Alinivutia muonekano wake na tabia (napenda wanawake wapole). Tukaanza mahusiano baada ya wiki mbili za kufahamiana. Mkoa aliopo anaishi kwa ndugu.
Umri ana miaka 25. Anafanya kazi kiwanda cha wahindi. Hawamlipi vizuri kutokana na maelezo yake na kazi anafanya siku sita za wiki, masaa 12 kwa siku. Hua anapewa siku moja tu ya kupumzika. Kwahyo ili tuwe tunaonana inalazimika mimi ndio niwe nasafiri kila napopata nafasi kwa vile tunaishi mikoa tofauti ni umbali wa masaa matatu kati yetu.
Tatizo binti shida hazimkauki. Binti anaomba sana ela. Kuanzia pesa ya nauli ya kwenda na kurudi kazini. Vocha. Kula. Mahitaji yake yote lazima aombe kubustiwa. Nimepiga hesabu kwa wiki pesa ndogo akiomba ni elfu 80, hua haipungui hapo. Sasa hivi ameomba nimpangie chumba nimnunulie na furniture ili tuwe tunakutana kwa uhuru tofauti na hivi tunavyokutana lodge kila nikija.
Kwahiyo nilimkalisha chini. Mshahara wangu haujui lakini ni zaidi ya mara tisa ya ule anaopokea yeye. Nikampa wazo anipe utaratibu nikajitambulishe kwao wanijue. Then aje tuishi wote huku tukitafta project iwe ya biashara au chochote ambacho ataweza kufanya akiwa huu mkoa niliopo mimi kuliko kuendelea kufanya kazi ambayo haimlipi huku akizidi kuniingizia unnecessary costs. Mipango ya ndoa then iendelee.
Amegoma katakata. Anadai kwa sasa kuishi na mwanaume ni mapema mno. Anataka kua independent awe na chumba chake, afanye kazi zake na maisha mengine. Nimemuambia kama haiwezekani basi kila mtu aendelee na maisha yake kuliko kupotezeana mda. Analia. Analalamika nimemchezea. Eti simpendi na simjali na nimebadilika! Binafsi nimeshindwa kumuelewa!