Jamani hapa kuna mapenzi kweli?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mamaJ type! Nimeshampiga chini aisee. Nimeblock kila kitu najua hili nalo litapita tu
 
Huyu hayupo mikoa ya kusini
 
[emoji2][emoji2]
 
Inaonekana upendi msaada maana utoi majibu sahihi...!! Jibu nimekuuliza hapo juu nikufungulie hyo code.
 
Huyo anahitaji backup yako tu kutumiza mahitaji yake akifanikiwa atakutupa kama used condom😅
 
Vijana mnaendekeza sana mapenzi kuliko kazi nyie ndio mnafanya wengine tuonekane wapuuzi yaani mwanamke mpaka anakuona zoba.
 
Mkuu hapo ni mkoani,arusha?? Ulizia vzuri huyo dada ajawai kuishi na mtu before na je? Ajazalishwa
Sorry hajawahi kuzalishwa. Alikua na boyfriend huko chuoni ambae aliishi nae kigetto getto ila jamaa ameshaoa. Hili nina uhakika nalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…