Jamani external hard drive yangu nisaidieni!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani external hard drive yangu nisaidieni!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mchajikobe, May 25, 2010.

 1. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,402
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  Salaam,jamani kunatatizo linanisumbua naomba msaada wenu,nina hard drive yangu external,nilikuwa natumia kwenye mashine ambayo ilikuwa na kaspersky anti virus,cha kushangaza ni kwamba nilipo angalia data zangu,sikuona hata moja,lakini nikitazama kwenye properties naona used space ile ile mbayo ilikuwa na data zangu,sasa kama kunamtu anaweza nisaidia juu ya hili nitashukuru sana!!alafu nikiiscan inascan data files zote naziona while scanning,lakini nikiifungua hiyo device sioni kitu,hii ninini jamani?
   
 2. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2010
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,280
  Likes Received: 4,283
  Trophy Points: 280
  Nenda tools then folder option then view then tick show hiden files and folder then click apply
   
 3. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Fungua hard disk yako,
  kisha nenda kwenye menu pale juu click tools,
  telemka chini kwenye folder options click ,
  ikisha fungua dirisha lingine,
  bonyeza pale imeandikwa view,
  angalia pale kwenye folder imeandikwa hidden files and folders
  click pale kwenye 'show hidden files and folders'.
  Shuka chini click 'Ok' umemaliza.
  utaona files zako ingawa zitaonekana kama zimezifichwa wewe fungua toa vitu vyako.
  Hata hivyo ni vema uvi backup sehemu nyingine na u format hiyo hard disk.

  KILA LA HERI. KUMBUKA KURUDI NA KUTOA TAARIFA YALIYOJIRI NA ASANTE.
   
 4. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #4
  May 25, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mara nyingi ukishamsaidia mtu harudi kujakutoa feedback.ndio maana unakuta watu wengi wanashindwa kuwasaidia
   
 5. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #5
  May 25, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  wewe saidia kama unaweza presha presha za nini kama hawataki si wao kuna mtu ameletwa hapa si kila mtu amekuja kwa taimu zake
   
 6. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #6
  May 25, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Njia rahisi kuliko zote ni Kuandika jina la Folder kwenye Address bar ya Computer yako

  1 - Fundua Flashdisk au Hiyo HDD

  2 - Nenda kwenye Address bar andika jina La folder moja moja kama - Videos , utaona videos zote unaweza kuhamisha toka hapo

  3 - Lakini angalia ndani ya folder hizo kunaweza kuwa na virus kama hukuscan hizo folder

  Hiyo ndio njia rahisi kuliko zote

  Pia kama unatumia windows vista pro au ult zote hizi huwa zinauwezo wa kuonyesha folders zilizofishwa bila utaalamu wowote

  Mchana mwema
   
 7. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280

  kamanda kumbe upo, mbona umeadimika sana mjengoni?
   
 8. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #8
  May 25, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Msaada aliopewa hapo juu unatosha maana naona mnaendelea kuandika kila ambacho tayari amekwisha shauriwa.
   
 9. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #9
  May 25, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Njia hii uliyompa ni ngumu sana kwa mtu asiye helewa haya mambo uzuri, njia nzuri ni aliyompa Mchukia Fisadi ni rahisi zaidi.
   
 10. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #10
  May 25, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,402
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  Hiyo nilishafanya before,but haikuziona!!
   
 11. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #11
  May 25, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,402
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  Asante umenisaidia kwa 100%
   
 12. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #12
  May 25, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  umesahau ni nani anajibu swali hilo - uwe unatafautisha ndugu usiku mwema
   
 13. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  Teh teh hata unapopika wali kuna njia nyingi za kuupika bana,mwishowe utaiva na utaula
   
Loading...