Jamani Eti Kuna Ukweli Hapa Wakuu...?

Ninachojua tu na nina uhakika nacho pia ni kwamba wale wote ambao Wanashabikia Liverpool FC ni ' Majiniasi ' sana hapa duniani. Leo Liverpool FC isipokuwa Bingwa naogelea kutoka Feri hadi Kigamboni kwenda na kurudi huku Kichwa nikiwa nimezama tu katika Maji bila ya Kuibuka juu. Hakuna mechi nyepesi kwa Liverpool FC kama ambayo wanacheza leo huko jijini Kiev nchini Ukraine.
Vipi mzee baba
umeshaogelea ?
 
Umemaliza kuogelea?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom