The atlantic
JF-Expert Member
- Aug 1, 2023
- 629
- 1,172
Eti wakuu kuna zile toyota hardtops za serikali ambazo zimepata ajali na kuharibika, zingine zimekaa hapo muda mrefu mtu hawezi kuuziwa akatengeneze?
Wakuu nahitaji fupa la kumalizia angalau linisaidie kwenye shughuli zangu.
Wakuu nahitaji fupa la kumalizia angalau linisaidie kwenye shughuli zangu.