Jamani Eti Kuna Ukweli Hapa Wakuu...?

KIOO

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
6,154
5,680
IMG-20180526-WA0012.jpg
 
Ninachojua tu na nina uhakika nacho pia ni kwamba wale wote ambao Wanashabikia Liverpool FC ni ' Majiniasi ' sana hapa duniani. Leo Liverpool FC isipokuwa Bingwa naogelea kutoka Feri hadi Kigamboni kwenda na kurudi huku Kichwa nikiwa nimezama tu katika Maji bila ya Kuibuka juu. Hakuna mechi nyepesi kwa Liverpool FC kama ambayo wanacheza leo huko jijini Kiev nchini Ukraine.
 
Nice to see you major oooh I mean General
 
Yeyote ana chance ya kushinda leo

Mbona hujiamini? Huu ni mwaka wa Rangi Nyekundu tu Kutawala Duniani na kama Liverpool FC leo watavaa Uzi wao / Jezi yao Rangi Nyekundu Ubingwa unaenda Uingereza mapema sana. Nitafute Saa 5 na Nusu usiku tafadhali.
 
Vipi mkuu alifanikiwa kukutafuta huyu jamaa anayeitwa Songa heri...?
 
Ninachojua tu na nina uhakika nacho pia ni kwamba wale wote ambao Wanashabikia Liverpool FC ni ' Majiniasi ' sana hapa duniani. Leo Liverpool FC isipokuwa Bingwa naogelea kutoka Feri hadi Kigamboni kwenda na kurudi huku Kichwa nikiwa nimezama tu katika Maji bila ya Kuibuka juu. Hakuna mechi nyepesi kwa Liverpool FC kama ambayo wanacheza leo huko jijini Kiev nchini Ukraine.
Ahadi
 
Mbona hujiamini? Huu ni mwaka wa Rangi Nyekundu tu Kutawala Duniani na kama Liverpool FC leo watavaa Uzi wao / Jezi yao Rangi Nyekundu Ubingwa unaenda Uingereza mapema sana. Nitafute Saa 5 na Nusu usiku tafadhali.
Atimae umetoka segerea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom