Jamani ethiopia...

Tatizo la huko ni kukata k.i.s.im.i
 
Ethiopia, Somalia, Cape Verde, Kondoa, Manyara, kuna balaa sana hayo maeneo aiseee.


Sent from my iPhone using JamiiForums app
Kweli mkuu hata bongo wapo? Aisee ngoja nianze jitihada za makusudi maeneo ya Kondoa, Manyara


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Yani hapa hadi dushe inakushukuru"asante kwa kunipa kitu cha kitofauti na kitamu kama hiki"

Na maeneo ya Singida pia dizaini hi ipo.
 
Kibo10 me nishamwambia wife naangalia mpira kipindi kimoja tu dakika 90 half time narudi home

Hahaha..leo naona watu wanaraha sana humu ndani
Tena Mr Rocky ndio inaonyesha haka kachansi alikuwa anakasubiri kwa hamu sasa kimewadia
Rocky usicheze sana rafu kiongozi nenda taratibu tu!
 
Last edited by a moderator:
Nimekumiss wewe mwallu hebu niambie neno zuri basi na roho yangu ipone




Mbona ashaanza kuaga aise anasema leo weekend wakati leo ni alhamisi
Sijui ameweka kamchepuko wapi huyu utafiti

Naona utafiti atakuwa amekipaki kabisa mapema
Kitakuwa maeneo ya pale msasani ila shughuli yote itaishia sinza
 
Last edited by a moderator:
Yuko busy tu Mkuu! Anafahamu kua that was jokes sn!

Naamini akipunguza majukumu atarudi!

We mwenyewe umemtisha kumtafutia Ngetwa huko unafikiri atarudi kwani hajipendi aise mkuu Ntuzu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…