Jamani ethiopia...

Haya mkuu, vp mpira unatizamia wapi? nyumbani hapanogi ila chunga usitumie kigezo cha worldcup kutoka njia kuu..


Mkuu hapana kutoka njia kuu ni mwiko hata kama kuna kuangalia kombe la dunia nje utafiti na Ntuzu ndo nafikiri watachepuka kwa kisingizio cha world cup aise
 
Last edited by a moderator:

Mr Rocky utafiti leo mazigira yake yamekaa vizuri tu
Ataaga anaenda kujoin na washikaji kucheki world cup
Bonge la nafasi yani lazima uonekane umepita njia kuu tu!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…