Hahaaha kwani leo si ndo ijumaa jioni?
dikembe salama mkuuHabari za kwako mkuu...naona kama kawaida unatokea kumlundenga mlimbwende!!! umempa taji gani?
V/S Tanzanian girlshttps://www.google.co.tz/search?q=ethiopian+girls&source=lnms&tbm=isch&sa=X&ei=dnWZU90DjIHtBqzqgJAK&sqi=2&ved=0CAYQ_AUoAQ&biw=1366&bih=531#imgdii=_https://www.google.co.tz/search?q=Tanzanian+girls&source=lnms&tbm=isch&sa=X&ei=gXaZU5mlMsf2O4nrgZAJ&ved=0CAYQ_AUoAQ&biw=1366&bih=531#imgdii=_View attachment 164371 sina cha kuongeza
Hahaaa..hapo nadhani unatafuta yaliyowakumba vijana wetu wa KARUME...Maofisi yote itabidi yafungwe na hiki ndicho kipindi cha wale wanaotumia advantage ya world cup kuchepuka.
Ntuzu unanihukumu bure, mbona mimi kwa Mndengereko nasubiri tu? Hii namba hatari kaka, sijui yupo pm kwa nani saivi
Nipo kaka...sikuoni hii week nzima nlikuwepo hapa jamvini hatugonga mkuu., au nawewe unachungulia na kukimbia kulitumikia taifa na familia kwa ujumla?
Brazil nadhani hii kitu wamekubaliwa, natamani sana na kwetu ingekua hivi, mwezi mzima kuangalia kandanda la hali ya juu, toka kwa vijana kama RUMELU LUKAKU, HAZARD, NEYMAR, FRED, OSCAR, MESSI, RONALDO......hahaaaa hapo mkuu ntakesha tu natazamaTusifanye kazi mkuu, me naona wazo zuri. Na atakaekamatwa kachepuka kwa kipindi cha world cup adhabu marambili cc wake zetu
Brazil nadhani hii kitu wamekubaliwa, natamani sana na kwetu ingekua hivi, mwezi mzima kuangalia kandanda la hali ya juu, toka kwa vijana kama RUMELU LUKAKU, HAZARD, NEYMAR, FRED, OSCAR, MESSI, RONALDO......hahaaaa hapo mkuu ntakesha tu natazama
Haya mkuu, vp mpira unatizamia wapi? nyumbani hapanogi ila chunga usitumie kigezo cha worldcup kutoka njia kuu..
Picha moja = chocolate 10
Mwala ahene?!
Labda huyo mjerumani....OZIL,...kumbe wewe #teamarsenalAyyyaaa mbona hujamtaja ata mmoja kutoka arsenal?????
Nimeishakutumua ile sehemu nyingine.Ss sijui nitazipataje hizo chocolate