Naomba kuuliza alipo Dr. Ulimboka. Mara ya mwisho nilimsikia alivorudi toka matibabu. Tukasubiri press conference lakini hadi leo sijasikia allishia wapi.
Mtu yeyote mwenye kujua huyu bwana yuko wapi na anafanya nini sasa hivi anisaidie.
Labda wengine mtaniuliza kwanini nauliza au ananihusu nini.
Kiukweli nimemkumbuka tu kama binadam mwenzangu na kwa vile habari zake zilivuma enzi hizo sio vibaya kujua anaendeleaje huko alipo.
daaaah bro Huna hata huruma kama Israel mtoa roho. Hata kama jamaa alikosea but kushangilia kipigo kile yataka moyo sana. Mi kuua mdudu najisikia vibaya itakua binadam.
Hata kama yeye aliua kwa mgomo wao ni vizuri kusamehe ili ijulikane nani mjinga.