Jamani, Dr. Ulimboka yuko wapi siku hizi?

Tulimumu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
14,395
Reaction score
13,266
Huyu Daktari alipata madhara makubwa kule Mabwepande na baada ya kunusurika kifo, aliaahidi kuwa atasema kila kitu kuhusu watesi wake.

Kutokana na mateso aliyoyapata daktari huyu, gazeti moja maarufu lilifungiwa kwa kutoa habari za mhuka mkuu wa kadhia hii ambaye lilidai yuko Magogoni.

Sasa huyu daktari amepotea wala haongei tena. Je yuko wapi na je anaendelea na kazi yake ya udaktari au bado anajipanga kutoa taarifa kamili?

Kuna daktari mwenzake mmoja naye alipata madhara makubwa ya kupukutika ngozi na kunyonyoka nywele ambapo alikwenda kuponea India.

Rafiki yake mkubwa aitwae Six akapita sehemu mbali mbali ikiwa ni pamoja na kanisani na kutangaza kuwa rafiki yake amepewa sumu. Dr mwenyewe aliporudi baada ya kunusurika kifo aliaahidi kuwa ataweka mambo hadharani. Wakati anaendelea kutangaza kuwa ataweka mambo hadharani, tukasikia ghafla kapewa uwaziri.

Kuanzia hapo akasitisha matangazo ya kuwa ataeleza kilicho mpata na hivyo kumfanya rafiki yake Six kuonekana ni mnafiki na mwongo mkubwa. Sasa hicho kimya chake kinaeleweka kwani keshapewa fidia.

Sasa rafiki yangu "Dr. Mabwepande" kapewa nini hadi awe kimya namna hii na kusahau ahadi zake?!
 
Huyu Daktari alipata madhara makubwa kule Mabwepande na baada ya kunusurika kifo, aliaahidi kuwa atasema kila kitu kuhusu watesi wake. Kutokana na mateso aliyoyapata daktari huyu, gazeti moja maarufu lilifungiwa kwa kutoa habari za mhuka mkuu wa kadhia hii ambaye lilidai yuko Magogoni. Sasa huyu daktari amepotea wala haongei tena. Je yuko wapi na je anaendelea na kazi yake ya udaktari au bado anajipanga kutoa taarifa kamili?

Kuna daktari mwenzake mmoja naye alipata madhara makubwa ya kupukutika ngozi na kunyonyoka nywele ambapo alikwenda kuponea India. Rafiki yake mkubwa aitwae Six akapita sehemu mbali mbali ikiwa ni pamoja na kanisani na kutangaza kuwa rafiki yake amepewa sumu. Dr mwenyewe aliporudi baada ya kunusurika kifo aliaahidi kuwa ataweka mambo hadharani. Wakati anaendelea kutangaza kuwa ataweka mambo hadharani, tukasikia ghafla kapewa uwaziri. Kuanzia hapo akasitisha matangazo ya kuwa ataeleza kilicho mpata na hivyo kumfanya rafiki yake Six kuonekana ni mnafiki na mwongo mkubwa. Sasa hicho kimya chake kinaeleweka kwani keshapewa fidia. Sasa rafiki yangu "Dr. Mabwepande" kapewa nini hadi awe kimya namna hii na kusahau ahadi zake?!

huyo kanyamazishwa na mkwanja au hela katulia mwenyewe licha kibano alichopata katulia..nahisi akaunt yake itakua imenona....bongo hakuna wa harakati wa kweli wote njaaa tu
 
Jamani hata kama ni mjinga kiasi gani yaani wanifanye vile afu nirudi kuwatetea watu wasio na umoja mmmmmmh hiyo haipo aisee
 
Huyu Daktari alipata madhara makubwa kule Mabwepande na baada ya kunusurika kifo, aliaahidi kuwa atasema kila kitu kuhusu watesi wake.

Kutokana na mateso aliyoyapata daktari huyu, gazeti moja maarufu lilifungiwa kwa kutoa habari za mhuka mkuu wa kadhia hii ambaye lilidai yuko Magogoni.

Sasa huyu daktari amepotea wala haongei tena. Je yuko wapi na je anaendelea na kazi yake ya udaktari au bado anajipanga kutoa taarifa kamili?

Kuna daktari mwenzake mmoja naye alipata madhara makubwa ya kupukutika ngozi na kunyonyoka nywele ambapo alikwenda kuponea India.

Rafiki yake mkubwa aitwae Six akapita sehemu mbali mbali ikiwa ni pamoja na kanisani na kutangaza kuwa rafiki yake amepewa sumu. Dr mwenyewe aliporudi baada ya kunusurika kifo aliaahidi kuwa ataweka mambo hadharani. Wakati anaendelea kutangaza kuwa ataweka mambo hadharani, tukasikia ghafla kapewa uwaziri.

Kuanzia hapo akasitisha matangazo ya kuwa ataeleza kilicho mpata na hivyo kumfanya rafiki yake Six kuonekana ni mnafiki na mwongo mkubwa. Sasa hicho kimya chake kinaeleweka kwani keshapewa fidia.

Sasa rafiki yangu "Dr. Mabwepande" kapewa nini hadi awe kimya namna hii na kusahau ahadi zake?!

Ametulia sehemu anakula bata Million200 si ndogo kwa ajiri ya kufunga mdomo tu!!!
 
yeye si alikua anapiganiaa haki ila kala kichapo ngolewa jino bila ganzi...hao hao wakampeleka nje for matibabu hao hao wakamtia mapene...jamaa kimyaaa yote njaa tu
 
Acha uongo mkuu kama ujui mambo tulia na utajifunza mengi ila ukijifanya mjuaji mengi utakosa.
Ametulia sehemu anakula bata Million200 si ndogo kwa ajiri ya kufunga mdomo tu!!!
 
Namba yake haipatikani? ulijaribu kwenda kwao ubungo kumuulizia?
 
Hapa hakuna cha siasa wala kupewa mihela.Huyu jamaa inawezekana kipigo alichopewa alifumaniwa na mke wa mtu na inawezekana ilikuwaga tabia yake. Mtu huwezi sulubishwa vile na watu unaowajua unusurike kifo ukae kimya. Kawaida mtu aliyefumaniwa anakaa kimya myaa
 
Huyu Daktari alipata madhara makubwa kule Mabwepande na baada ya kunusurika kifo, aliaahidi kuwa atasema kila kitu kuhusu watesi wake.

Kutokana na mateso aliyoyapata daktari huyu, gazeti moja maarufu lilifungiwa kwa kutoa habari za mhuka mkuu wa kadhia hii ambaye lilidai yuko Magogoni.

Sasa huyu daktari amepotea wala haongei tena. Je yuko wapi na je anaendelea na kazi yake ya udaktari au bado anajipanga kutoa taarifa kamili?

Kuna daktari mwenzake mmoja naye alipata madhara makubwa ya kupukutika ngozi na kunyonyoka nywele ambapo alikwenda kuponea India.

Rafiki yake mkubwa aitwae Six akapita sehemu mbali mbali ikiwa ni pamoja na kanisani na kutangaza kuwa rafiki yake amepewa sumu. Dr mwenyewe aliporudi baada ya kunusurika kifo aliaahidi kuwa ataweka mambo hadharani. Wakati anaendelea kutangaza kuwa ataweka mambo hadharani, tukasikia ghafla kapewa uwaziri.

Kuanzia hapo akasitisha matangazo ya kuwa ataeleza kilicho mpata na hivyo kumfanya rafiki yake Six kuonekana ni mnafiki na mwongo mkubwa. Sasa hicho kimya chake kinaeleweka kwani keshapewa fidia.

Sasa rafiki yangu "Dr. Mabwepande" kapewa nini hadi awe kimya namna hii na kusahau ahadi zake?!

Ameingia Patnership Na Rama Ighondu Ya NGO Iitwayo TUSAMEHEANE na TUGANGE MBELE Dot Com Makao Makuu Yake Yakiwa MABWEPANDE Na Wanapata Wateja Wengi Tu Na Wa Hivi Alikuwa Comrade Absalom Kibanda.
 
Acha uongo mkuu kama ujui mambo tulia na utajifunza mengi ila ukijifanya mjuaji mengi utakosa.

Ukweli ni upi, huoni kwamba hata wewe unaongopa kwa kukanusha kitu usicho na majibu yake?
 
Wana jamvi,

Naomba kuuliza alipo Dr. Ulimboka. Mara ya mwisho nilimsikia alivorudi toka matibabu. Tukasubiri press conference lakini hadi leo sijasikia allishia wapi.

Mtu yeyote mwenye kujua huyu bwana yuko wapi na anafanya nini sasa hivi anisaidie.
Labda wengine mtaniuliza kwanini nauliza au ananihusu nini.

Kiukweli nimemkumbuka tu kama binadam mwenzangu na kwa vile habari zake zilivuma enzi hizo sio vibaya kujua anaendeleaje huko alipo.
 
Back
Top Bottom