Achana na mimi wewe....ninaheshimika kitaa ni mkurugenzi mwenye ofisi fulani hivi, nimeajiri graduates na ninatiririka kimiradimiradi hivi. Balozi za nchi zote hapa Tanganyika na Zanzibar zinanijua. Mradi wa ubalozini haukatizi. Me ndo CR mkuu product ya SUA....huniwezi wewe!sasa uCR wako unahusiana nini na mada!,je ungekuwa seminar leader si ungetembea km umepigwa ngumi ya mgongo.
Bado mnasoma moduli? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni balaa bro,nina moduli 13 wakati wengine saba tu wanalialia...
ngoja ninyamaze mtu akisoma atashindwa kujua kati yako na yangu nani mpumbavu wa head.Achana na mimi wewe....ninaheshimika kitaa ni mkurugenzi mwenye ofisi fulani hivi, nimeajiri graduates na ninatiririka kimiradimiradi hivi. Balozi za nchi zote hapa Tanganyika na Zanzibar zinanijua. Mradi wa ubalozini haukatizi. Me ndo CR mkuu product ya SUA....huniwezi wewe!
Huna jinsi lazima unyamaze ma-CR wa SUA hatunaga mdhaha.....chuo SUA bwana DIT na UDSM ni kama TEKU tu. Nilikuwa CR wa SUA bwana unibabaishi kitu wewe.ngoja ninyamaze mtu akisoma atashindwa kujua kati yako na yangu nani mpumbavu wa head.
ww mbweha chuo tz ni kimoja tu UDSM,hvyo vingine colleg km sua na vyakata km udom.ndoto yako ilikuwa UDSM ulivyopigwa chini ndo ukapata homa ya maisha na UD.Home of Intellectuals.Huna jinsi lazima unyamaze ma-CR wa SUA hatunaga mdhaha.....chuo SUA bwana DIT na UDSM ni kama TEKU tu. Nilikuwa CR wa SUA bwana unibabaishi kitu wewe.
Mnaanza lini mockKufa hufi ila cha [emoji91] [emoji91] utakiona...
Soma mkuu acha lawama
Mnaanza lini mockKufa hufi ila cha [emoji91] [emoji91] utakiona...
Soma mkuu acha lawama
UDSM wachumba tu wamejaa vilaza tu. Chuo SUA bwana tena nilikuwa CR.ww mbweha chuo tz ni kimoja tu UDSM,hvyo vingine colleg km sua na vyakata km udom.ndoto yako ilikuwa UDSM ulivyopigwa chini ndo ukapata homa ya maisha na UD.Home of Intellectuals.
tz chuo ni kimoja tu UDSM.HOME OF INTELLECTUALS.
Yani chuo kama advance bana,yani msuli kama upo skuli jamani kah, tuhurumiane....chuo masomo mengi, malecture jau, sheria kali, hapa hakuna viboko tu ila ni kama shule....
Chuo SUA bwana tena nilikuwa CR.....hakuna cha DIT wala UDSM wote wachumba tu.
Haya mkuu huko SUA ulikuwa program gani? Kuwa CR hakuna mahusiano yeyote na ugumu wa program.UDSM wachumba tu wamejaa vilaza tu. Chuo SUA bwana tena nilikuwa CR.
Nimepiga Agrobusiness kitu matata tena bonge la CR sibabaishwi na UD wa DIT zote zion tu hizo.Haya mkuu huko SUA ulikuwa program gani? Kuwa CR hakuna mahusiano yeyote na ugumu wa program.
Hata kitaa ni bonge la mkurugenzi naheshimika hadi Ethiopia mjini Tigris.Hongera kwa cheo