Jamani DIT mtatuua

soma soma dogo wenzako tumesoma kwenye system kama hii
A-----100-81
B------80--79
C------78--69
D------68--51
E-------50--41
F--------40-00
KILA SIKU UNGEKUWA UNALALAMA KUZITAFUTA HIZI ALAMA
 
unasoma Engineering acha kulialia mjomba, hata ukienda uko udsm st Joseph ,Saut na kwingineko kwote lazma upige msuli na mamodule ni mengi hivyo hivyo,Bachelor of Engineering sio Bachelor of education mjomba
KUSOMA [SANAAA] NI LAZIMA
 
Yani chuo kama advance bana,yani msuli kama upo skuli jamani kah, tuhurumiane....chuo masomo mengi, malecture jau, sheria kali, hapa hakuna viboko tu ila ni kama shule....
Pole sana kijana, yote yatapita tu hata sie wengine tumepita hapo hapo Dit...
Ninachosikitika kitu kimoja tu,unasoma elimu ngumu then soko la ajira wanataka ujitolee (intern)
 
Upuuzi ni nin? Upuuzi ni pale mnapobishana kuhusu vyuo wakati kila mtu anaamua kuchagua anachokitk na akihitimu cheti anapewa kutokana na alichokisotea
 
Yani chuo kama advance bana,yani msuli kama upo skuli jamani kah, tuhurumiane....chuo masomo mengi, malecture jau, sheria kali, hapa hakuna viboko tu ila ni kama shule....
vipi ulivyochaguliwa hapo ulitamba kijijini kwenu kote. Sasa kwa taarifa yako hapo ndio kimetiwa greese ungeenda miaka kumi nyuma nadhani ungeacha chuo kimya kimya
 
Yani chuo kama advance bana,yani msuli kama upo skuli jamani kah, tuhurumiane....chuo masomo mengi, malecture jau, sheria kali, hapa hakuna viboko tu ila ni kama shule....
Mi mpaka leo sijui Chuo chenye Elimu nyepesi Tanzania!
 
UDSM kwa semester hazizidi module nane...Beng ni tofauti na BSc mkuu
mimi nilipangiwa eng fulani ud ilikua na module 13 kaka sasa sijui hizo nane umetoa wapi though huwa zinapungua kila mwaka
 
Yani chuo kama advance bana,yani msuli kama upo skuli jamani kah, tuhurumiane....chuo masomo mengi, malecture jau, sheria kali, hapa hakuna viboko tu ila ni kama shule....
acha umayai wewe hakuna engineering collage nyanya... Must Dit atc kote ni moto ukitaka kasome zile coz zingine .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…