Abubakar Abdallah
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 281
- 170
Yani chuo kama advance bana, yaani msuli kama upo skuli jamani kah. Tuhurumiane....chuo masomo mengi, malecture jau, sheria kali, hapa hakuna viboko tu ila ni kama shule....
utakiona...Umeongea kwa sauti kali sana aiseeYani chuo kama advance bana,yani msuli kama upo skuli jamani kah,tuhurumiane....chuo masomo mengi,malecture jau,sheriq kali,apa hakuna viboko tu ila ni kama shule....

Ni balaa bro,nina moduli 13 wakati wengine saba tu wanalialia...Kufa hufi ila cha![]()
utakiona...
Soma mkuu acha lawama
Yani ni zaidi ya shule..Nenda UDSM
Chuo kikuu cha Tanzania.
Huko kwingine mnasoma shule za kawaida tu
Someni sana ajira nayo ya kuload nyie someni tuYani chuo kama advance bana,yani msuli kama upo skuli jamani kah,tuhurumiane....chuo masomo mengi,malecture jau,sheriq kali,apa hakuna viboko tu ila ni kama shule....
Nenda UDSM
Chuo kikuu cha Tanzania.
Huko kwingine mnasoma shule za kawaida tu

sizani labda ungesema MUHAS
usijali mkuu hayo yatapita tuNi balaa bro,nina moduli 13 wakati wengine saba tu wanalialia...
Hii balaa....usijali mkuu hayo yatapita tu
Mkuu ndo hali halisi hiyo mzee..Umeongea kwa sauti kali sana aisee![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hamia mama John collegeYani chuo kama advance bana,yani msuli kama upo skuli jamani kah,tuhurumiane....chuo masomo mengi,malecture jau,sheriq kali,apa hakuna viboko tu ila ni kama shule....
Nenda UDSM
Chuo kikuu cha Tanzania.
Huko kwingine mnasoma shule za kawaida tu
rudi kitaa ugeuzwe mboga uliweYani chuo kama advance bana,yani msuli kama upo skuli jamani kah,tuhurumiane....chuo masomo mengi,malecture jau,sheriq kali,apa hakuna viboko tu ila ni kama shule....
of journalismHamia mama John college
Chuo cha KataNenda UDSM
Chuo kikuu cha Tanzania.
Huko kwingine mnasoma shule za kawaida tu
We kweli unaijua sheria mpya ya CA iliyoanza kutumika mwaka au unaongea tu..Eti imekua softacha kulialia wenzako tumesoma hapo supp tuliisikia kwenye bomba.
Kwanza siku hizi DIT imelegeza imekuwa soft sana, hapo ndio School of hardknock