TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,104 Oct 25, 2012 #2 Mapenzi jamani acheni yaitwe mapenzi
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,551 Oct 25, 2012 #3 Yaani kwenye mapenzi unaweza ukafanya hata ambayo hukuwahi dhania kama kuna siku ungeyafanya
Mkirua JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 5,647 Reaction score 2,513 Oct 25, 2012 #4 snowhite said: Click to expand... imeandikwa...Si haramu nzi kufia kwenye kidonda...LOL!
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,263 Reaction score 17,140 Oct 25, 2012 #5 Toka akutwe na zahma hili anaishi mitini
COURTESY JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 2,006 Reaction score 712 Oct 25, 2012 #6 hahahahahaha kazi ipo
snowhite JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 18,422 Reaction score 25,338 Oct 25, 2012 Thread starter #7 Safari_ni_Safari said: Toka akutwe na zahma hili anaishi mitini Click to expand... kwa hiyo inabidi hata busu ndo liwe la kimonkey monkey hivi!mwe kweli mtu haachi asili yake!
Safari_ni_Safari said: Toka akutwe na zahma hili anaishi mitini Click to expand... kwa hiyo inabidi hata busu ndo liwe la kimonkey monkey hivi!mwe kweli mtu haachi asili yake!
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,679 Reaction score 4,382 Oct 25, 2012 #8 love, love so nice, tell me why you hurt so bad!!!
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Oct 25, 2012 #9 snowhite said: [ anaonekana hajakula huyu huyu akishakula mbwembwe zote ataweka kapuni/QUOTE] Click to expand...
snowhite said: [ anaonekana hajakula huyu huyu akishakula mbwembwe zote ataweka kapuni/QUOTE] Click to expand...
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Oct 25, 2012 #10 Safari_ni_Safari said: Toka akutwe na zahma hili anaishi mitini Click to expand... hii kitu hadi unywele unakufa ganzi..
Safari_ni_Safari said: Toka akutwe na zahma hili anaishi mitini Click to expand... hii kitu hadi unywele unakufa ganzi..
zomba JF-Expert Member Joined Nov 27, 2007 Posts 17,239 Reaction score 3,939 Oct 25, 2012 #11 Bofloooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Mwanahisa JF-Expert Member Joined Jun 29, 2012 Posts 1,382 Reaction score 518 Oct 25, 2012 #12 Ujana maji ya moto jamani!
Nazjaz JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 7,850 Reaction score 9,423 Oct 25, 2012 #13 Boflo, u r so creative Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
sabasita JF-Expert Member Joined Oct 29, 2009 Posts 1,501 Reaction score 393 Oct 25, 2012 #14 kwani bofflo siku hizi ana date mademu?
snowhite JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 18,422 Reaction score 25,338 Oct 25, 2012 Thread starter #15 Nazjaz said: Boflo, u r so creative Click to expand... ahahhahahhhhaa Boflo noma ni mkaaaaareeeeee! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
snowhite JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 18,422 Reaction score 25,338 Oct 25, 2012 Thread starter #16 sabasita said: kwani bofflo siku hizi ana date mademu? Click to expand... ndo kaanza sasa na maujanja hayo!mtamtafutaaaaaje!
sabasita said: kwani bofflo siku hizi ana date mademu? Click to expand... ndo kaanza sasa na maujanja hayo!mtamtafutaaaaaje!
ALLEX JF-Expert Member Joined Mar 15, 2011 Posts 2,006 Reaction score 346 Oct 25, 2012 #17 jasiri haachi asili.....
Boflo JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 4,383 Reaction score 4,413 Oct 25, 2012 #18 Hahahahaha Bofloooooooooooooooooooooooooo snowhite hii kali Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
snowhite JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 18,422 Reaction score 25,338 Oct 25, 2012 Thread starter #19 Boflo said: Hahahahaha Bofloooooooooooooooooooooooooo snowhite hii kali Click to expand... ahahhahhhah si ndo mana nikakufotoa wangu manake dah mi mwenyewe nilibaki nashangaa tu kumbe unapiga sarakasi za makiss kiss mpaka kwenye miti!we mbaya weeweeeeeeee we mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaaah!
Boflo said: Hahahahaha Bofloooooooooooooooooooooooooo snowhite hii kali Click to expand... ahahhahhhah si ndo mana nikakufotoa wangu manake dah mi mwenyewe nilibaki nashangaa tu kumbe unapiga sarakasi za makiss kiss mpaka kwenye miti!we mbaya weeweeeeeeee we mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaaah!