unafaidi nini hapo,
Maji, mchanga au jua?
wacha muchezooooo!!!!!!!!!ukienda beach ya miami usa si utaomba uraia kabisa?!!
ha ha haaaaaaa sio maziwa ni baharini hapo tena maji ya chumviiii teh teh teeeeeeeeehh!:dance:maziwa!
manyonyo!!!ha ha haaaaaaa sio maziwa ni baharini hapo tena maji ya chumviiii teh teh teeeeeeeeehh!:dance:
bichi raha sana
Mitaa ya Masaki na Obay eeh! hahahahah nishakushtukia lol! naona umepamba moto kuifukuzia ile BMW kila la heri!
Hahah hahha nimebaki nacheka mzee wa AUDI Q7:biggrin1::biggrin1:
Hapa wameiba muonekano wa rav4 newnew modelHahahahah kabla hujaamua uangalie na hiki kitu...si mpenzi wa magari ya Kimarekani lakini hapa jamaa wamejitahidi sana.
unafaidi nini hapo,
Maji, mchanga au jua?