Jamani beach kuzuri balaa.....

Jamani beach kuzuri balaa.....

Copa Cabana Brazil

Hostels-Rio3.jpg

Mie hicho kitoto tu cha kiume kinaonekana kimefurahi kweli afu kiko full natural swim suit!
 
Hapa wameiba muonekano wa rav4 newnew model

Ni kweli wameiba/wameiga style ya RAV4, lakini BB zikiwekwa gari hizi mbili halafu ukaambiwa uingie kwenye moja uondoke nayo moja kwa moja sijui kama utaondoka na RAV4 halafu ukiingia ndani ya cadillac esalade ndio watakumaliza kabisa!
 
Mimi bwana nimelogwa na rav4 sijui kwa nini, sipendi gari aina nyingine yoyote, ila hii cad bado kuiona hapa bongo eeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom