Jamani Azam TV tuhurumieni kwa kutuachia Local Channels

Hii imekua kero kabisa imebak TBC tu .. Wapinzan hawajaiona hii kama ni hoja wana ufipa
kwahiyo kwenu Lumumba sio hoja? au ndo kila kitu kinachohusu utetezi wa wanyonge mpka kifanywe na chadema? kama ni hivyo nyie magamba mpo kwa ajili ya nani?
 
Tcra hawasimami haki kampuni za cm zinaamua zinavyotaka wenye radio,tv leo 1gb ya kampuni zetu za cm inaisha kwa ku load bila kungua unachohitaji
 
Lipia upate uhondo au ni donda la jipu?

Shida sana. Sijui ni uzee au ni upofu, kila jambo lazima ulielekeze kusiko. TCRA walituaminisha kuwa channel zote zinazoonekana nationwide zitakuwa bure. Mdau analalamika, we unaleta mizinguo. Umefanana kweli kweli na avatar yako
 
Mi nilidhani hata kifurushi kikiisha inabid wanachoita local channels (verified) hazikatwi. Azam kingamuz chao wanakata kila kitu na kubakiza tbc1. Au mi niliwaelewa vibaya TCRA na serikali ile.
 
TCRA ndio TATIZO hawatoi TAARIFA kwa UMMA kama mfumo umebadilika , wao WANAANGALIA nani AMETUKANA wamfungie na kumshtaki haya ya wananchi wamekaa kimya.
 
Wakuu,

Napenda kujuzwa kama wanachokifanya Azam TV ku Block Local Channel zote ukiacha TBC1 ???????!!!!!??????!!!! Pale Subscriptions fee inapo expire.
Is this Fair ? Why Only TBC1 ?
What about other Local Channels ?
Si TCRA walishawahi kusema hawa Providers wanatakiwa kuonesha at least Local Channels for free.
Naomba kujuzwa

Cc TCRA
Suala la Local Channels halipo kwenye mamlaka ya Azam or any service provider mwenye leseni sawa na Azam... hapa wanaingia pia DSTV na Zuku. Tulipoingia Digital, ni Startimes ndio walipewa sharti la kurusha local channels ambazo zilikuwa na national coverage na hii ni kwavile tangia hapo hizo channels zilikuwa free to air kwahiyo hakukuwa na sababu ya kuwataka wananchi walipie.
 
Azam wameniboa,nilitegea Kombe la Ulaya watupe katka HD lakini wapi,hao ZBC wanachagua mechi za kuonyesha...
 
Ndoo narudi zangu nyumbani harakaharaka niiwahi Taarifa ya habari ya Chanel Ten. Najaribu kuwasha, a, wapi bwana wenyewe wameshaiondoa kwenye orodha ya Chanel za bure kitambo! Kuona hivo nikajaribu ITV wapi
Star T V chenga

Na nyingine kama hizo pia wameramba! Wameniachia ile ambayo siitazamagi tu!. Ni hakika namba naisoma na kuiandika!

King'amuzi startimes dezo kwishne, Zile porojo sasa zimefikia mwisho za local chanel. Kuanzia tah 1 july chanel zote startimes za local chanel zimezimwa imebaki tbc 1 tu ..

Kila kitu pesa sasa lipia uone .

Nimeona hili jambo na kiukweli limeanza July Mosi , bila shaka ni katika ule mkakati wa Dr Mpango kusaka vyanzo vipya vya kodi .

Mwingine mwenye taarifa zaidi aongezee hapa .

Poleni sana watanzania masikini , hata uhuru wa kupata habari tu unaendelea kupukutika .
 
Ndoo narudi zangu nyumbani harakaharaka niiwahi Taarifa ya habari ya Chanel Ten.
Najaribu kuwasha, a, wapi bwana wenyewe wameshaiondoa kwenye orodha ya Chanel za bure kitambo!
Kuona hivo nikajaribu ITV wapi
Star T V chenga
Na nyingine kama hizo pia wameramba!
Wameniachia ile ambayo siitazamagi tu!

Ni hakika namba naisoma na kuiandika!



Sent from my itel_it1701 using JamiiForums mobile app


Nimecheka sana comrade....inaelekea vya bure viko YANGA tu...tehtehtehteh....
 
Ndoo narudi zangu nyumbani harakaharaka niiwahi Taarifa ya habari ya Chanel Ten.
Najaribu kuwasha, a, wapi bwana wenyewe wameshaiondoa kwenye orodha ya Chanel za bure kitambo!
Kuona hivo nikajaribu ITV wapi
Star T V chenga
Na nyingine kama hizo pia wameramba!
Wameniachia ile ambayo siitazamagi tu!

Ni hakika namba naisoma na kuiandika!



Sent from my itel_it1701 using JamiiForums mobile app
hivi ving'amzi vya bongo ni majipu kabsaaaaaaa. Sijui TCRA ipo wapi.??
 
Kuna king'amuzi hapa home kimeisha hata hamu ya kukilipia sina, mbaya zaidi ht yf haulizii!
 
Back
Top Bottom