Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,168
- 10,060
Wakuu,
Napenda kujuzwa kama wanachokifanya Azam TV ku Block Local Channel zote ukiacha TBC1 ???????!!!!!??????!!!! Pale Subscriptions fee inapo expire.
Is this Fair ? Why Only TBC1 ?
What about other Local Channels ?
Si TCRA walishawahi kusema hawa Providers wanatakiwa kuonesha at least Local Channels for free.
Naomba kujuzwa
Cc TCRA

Kitendo cha kuwa mnakata local channel zote mimi kama mteja wenu sijafurahishwa nayo. Ni tabia ya kukiuka masharti mliyopewa na TCRA.
Kwanini mnilazimishe kununua kifurushi chenye mambo ya michezo nawakati mimi sipendi hiyo michezo? Kwanini msitenganishe vifurushi vya wapenda michezo na wale wasio pendelea?
Azam tv tuhurumieni hata kwa kuacha local channel hata tano tu bure, maisha sasa hivi ni magumu. Wakati huu wa serikari ya awamu ya tano maisha magumu fedha hazipatikani.
Azamu tv kuweni na utu walau hata sisi wanyonge tusifadhaike. Yani naumia mno!