Malaika Gabrieli
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 3,626
- 6,870
Wanadhani kuokoka ni jambo gumu while ni tendo la kuamini na kuchukua hatua wawe na uzima wa milele.Watu wanafikiri ni mzaha. Ni kweli ni kutamu🍬
Ni adui tu anayewapofusha fikra zao. Tuwaombee na tusiache kuwashuhudia, kwa neema ya Mungu na wao watauonja huo utamu.Wanadhani kuokoka ni jambo gumu while ni tendo la kuamini na kuchukua hatua wawe na uzima wa milele.
Marko 16:16
Mbona kuna makanisa mengi tu yanayohubiri kweli na yasiyofanya miujiza feki. Jiunge na hayo.Nilikuwa nimeokoka nikawa nasali kwa Pastor Tony ila tangu ile siku aseme anajaza gesi na mdomo imani yangu imerudi nyuma sana🥲
If so, unaenjoyHii sio chit chat. Nimethibitisha kwa macho na masikio yangu, na kuonja kwa nafsi yangu. Tangu nilipompokea Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wangu, nafaidi utamu huu:
Kama huo sio utamu ni nini?
- Siogopi wachawi wala siogopi kulala kwenye nyumba zenye vibwengo – wachawi wakinijia, nawapiga 'knock out' kwa Jina la Yesu (Isa 54:17).
- Nikiomba napewa – kila sala yangu imekuwa na matunda (Mt 7:7).
- Magonjwa ya zinaa hayanipati ng'oo – uasherati kwangu ni mwii... ni mwiko (1 Kor 6:18).
- Na-save pesa nyingi za matibabu – kwa kuwa magonjwa mengi nayakemea na yanatoweka kwa Jina la Yesu (Isa 53:5).
- Nina amani isiyoelezeka – amani aliyonipa Yesu haipatikani kwa njia nyingine (Yn 14:27). Nina amani hata katikati ya majaribu na dhoruba (Yn 20:19).
- Sipati kamwe hangover ya walevi – furaha yangu haina majuto. Nikifurahi leo, sijuti wala kuona aibu kesho (Flp 4:4).
- Sipatwi na mikosi na mabalaa ya kulogwa – kwakuwa hakuna uchawi unaofanikiwa juu yangu (Hes 23:23).
- Bwana ndiye Mchungaji wangu, hivyo sipungukiwi na kitu (Zab 23:1). Mungu amekuwa akibariki kazi za mikono yangu kila siku mjini na mashambani (Kum 28:3)
- Namshinda shetani na mapepo yake kirahisi kabisa – akiinua kichwa, nambamiza chini na kumtimua kwa Jina la Yesu (Yk 4:7).
- Mungu amenipa maarifa mengi ya kikazi na kimaisha kama alivyofanya kwa Bezaleli(Kut 31:2-5)
- Sina hofu ya kifo – kufa kwangu ni faida (Flp 1:21). Ni faida kwa sababu nikifa nitafufuka tena na kuvishwa taji ya uzima (2 Tim 4:8), katika makao ambayo Yesu alienda kuniandalia mbinguni (Yn 14:2).
Ndugu zangu, shetani ni muongo. Anawashawishi watu wasiokoke ili wakose baraka hizo. Kuokoka sio hadithi, sio kuwa taahira — ni maisha ya ushindi, furaha na uhakika wa uzima wa milele.
Mimi nimeonja, na nimethibitisha mwenyewe kuwa kweli Bwana Yesu ni mwema! (Zaburi 34:8). Na wewe onja leo maisha ya wokovu kwa kutubu dhambi zako na kuziacha, kisha umpokee Yesu moyoni mwako kwa imani, awe Bwana na Mwokozi wako.
View attachment 3442615
Wanayumba sana,Utatumbukia kwenye shimo reefu.Naitaji kuokoka
Masikini....Hii sio chit chat. Nimethibitisha kwa macho na masikio yangu, na kuonja kwa nafsi yangu. Tangu nilipompokea Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wangu, nafaidi utamu huu:
Kama huo sio utamu ni nini?
- Siogopi wachawi wala siogopi kulala kwenye nyumba zenye vibwengo – wachawi wakinijia, nawapiga 'knock out' kwa Jina la Yesu (Isa 54:17).
- Nikiomba napewa – kila sala yangu imekuwa na matunda (Mt 7:7).
- Magonjwa ya zinaa hayanipati ng'oo – uasherati kwangu ni mwii... ni mwiko (1 Kor 6:18).
- Na-save pesa nyingi za matibabu – kwa kuwa magonjwa mengi nayakemea na yanatoweka kwa Jina la Yesu (Isa 53:5).
- Nina amani isiyoelezeka – amani aliyonipa Yesu haipatikani kwa njia nyingine (Yn 14:27). Nina amani hata katikati ya majaribu na dhoruba (Yn 20:19).
- Sipati kamwe hangover ya walevi – furaha yangu haina majuto. Nikifurahi leo, sijuti wala kuona aibu kesho (Flp 4:4).
- Sipatwi na mikosi na mabalaa ya kulogwa – kwakuwa hakuna uchawi unaofanikiwa juu yangu (Hes 23:23).
- Bwana ndiye Mchungaji wangu, hivyo sipungukiwi na kitu (Zab 23:1). Mungu amekuwa akibariki kazi za mikono yangu kila siku mjini na mashambani (Kum 28:3)
- Namshinda shetani na mapepo yake kirahisi kabisa – akiinua kichwa, nambamiza chini na kumtimua kwa Jina la Yesu (Yk 4:7).
- Mungu amenipa maarifa mengi ya kikazi na kimaisha kama alivyofanya kwa Bezaleli(Kut 31:2-5)
- Sina hofu ya kifo – kufa kwangu ni faida (Flp 1:21). Ni faida kwa sababu nikifa nitafufuka tena na kuvishwa taji ya uzima (2 Tim 4:8), katika makao ambayo Yesu alienda kuniandalia mbinguni (Yn 14:2).
Ndugu zangu, shetani ni muongo. Anawashawishi watu wasiokoke ili wakose baraka hizo. Kuokoka sio hadithi, sio kuwa taahira — ni maisha ya ushindi, furaha na uhakika wa uzima wa milele.
Mimi nimeonja, na nimethibitisha mwenyewe kuwa kweli Bwana Yesu ni mwema! (Zaburi 34:8). Na wewe onja leo maisha ya wokovu kwa kutubu dhambi zako na kuziacha, kisha umpokee Yesu moyoni mwako kwa imani, awe Bwana na Mwokozi wako.
View attachment 3442615
Mke mwema mtu hupewa na BWANA (Mithali 19:14). Ukiokoka, muombe BWANA atakuongoza mahali utakapompata mke anayekufaa. Kama uko tayari kuokoka, omba (kwa kufuatisha kwa moyo wako wa dhati) sala hii ya toba.Naitaji kuokoka ntapata na mke kwenye kanisa unalosali?
Kama biblia na uwepo wa mungu ungekuwa ni kitu cha kweli mzungu asingetaka mtu mweusi ajue, yaani tungekuwa wa mwisho kufahamu na tungetumia nguvu nyingi kufahamu ukweli.Upo duniani au umeshakwenda mbingu?
Jamani Demi unataka malaika aje kwako akuambie kwamba Biblia ni kitu cha kweli ndio uamini?Kama biblia na uwepo wa mungu ungekuwa ni kitu cha kweli mzungu asingetaka mtu mweusi ajue, yaani tungekuwa wa mwisho kufahamu na tungetumia nguvu nyingi kufahamu ukweli.
Hata huo uchawi siuamini kwahiyo siwezi kwenda kwa mganga wala kufanya jambo lolote la kishirikina.Jamani Demi unataka malaika aje kwako akuambie kwamba Biblia ni kitu cha kweli ndio uamini?
Sasa fanya hivi: nenda kwa mganga yeyote wa kienyeji unayesikia watu wakimsifu kwamba ni "konki". Mwambie anitumie uchawi aniloge niwe kichaa, halafu uone huo uchawi wake kama utafanya kitu kwangu. Am serious, hayo niliyokushuhudia ni mambo ya kweli kabisa. Hata mimi kabla ya kuokoka, nilikuwa sijui faida za kuokoka. Wewe pia onja leo utakuja hapa kushuhudia jinsi kuokoka kulivyo kutamu
View attachment 3444280
Hivi ile miujiza wanayotoa ushuhuda waumini wa kanisa la Mwamposa ni kweli?Hii sio chit chat. Nimethibitisha kwa macho na masikio yangu, na kuonja kwa nafsi yangu. Tangu nilipompokea Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wangu, nafaidi utamu huu:
Kama huo sio utamu ni nini?
- Siogopi wachawi wala siogopi kulala kwenye nyumba zenye vibwengo – wachawi wakinijia, nawapiga 'knock out' kwa Jina la Yesu (Isa 54:17).
- Nikiomba napewa – kila sala yangu imekuwa na matunda (Mt 7:7).
- Magonjwa ya zinaa hayanipati ng'oo – uasherati kwangu ni mwii... ni mwiko (1 Kor 6:18).
- Na-save pesa nyingi za matibabu – kwa kuwa magonjwa mengi nayakemea na yanatoweka kwa Jina la Yesu (Isa 53:5).
- Nina amani isiyoelezeka – amani aliyonipa Yesu haipatikani kwa njia nyingine (Yn 14:27). Nina amani hata katikati ya majaribu na dhoruba (Yn 20:19).
- Sipati kamwe hangover ya walevi – furaha yangu haina majuto. Nikifurahi leo, sijuti wala kuona aibu kesho (Flp 4:4).
- Sipatwi na mikosi na mabalaa ya kulogwa – kwakuwa hakuna uchawi unaofanikiwa juu yangu (Hes 23:23).
- Bwana ndiye Mchungaji wangu, hivyo sipungukiwi na kitu (Zab 23:1). Mungu amekuwa akibariki kazi za mikono yangu kila siku mjini na mashambani (Kum 28:3)
- Namshinda shetani na mapepo yake kirahisi kabisa – akiinua kichwa, nambamiza chini na kumtimua kwa Jina la Yesu (Yk 4:7).
- Mungu amenipa maarifa mengi ya kikazi na kimaisha kama alivyofanya kwa Bezaleli(Kut 31:2-5)
- Sina hofu ya kifo – kufa kwangu ni faida (Flp 1:21). Ni faida kwa sababu nikifa nitafufuka tena na kuvishwa taji ya uzima (2 Tim 4:8), katika makao ambayo Yesu alienda kuniandalia mbinguni (Yn 14:2).
Ndugu zangu, shetani ni muongo. Anawashawishi watu wasiokoke ili wakose baraka hizo. Kuokoka sio hadithi, sio kuwa taahira — ni maisha ya ushindi, furaha na uhakika wa uzima wa milele.
Mimi nimeonja, na nimethibitisha mwenyewe kuwa kweli Bwana Yesu ni mwema! (Zaburi 34:8). Na wewe onja leo maisha ya wokovu kwa kutubu dhambi zako na kuziacha, kisha umpokee Yesu moyoni mwako kwa imani, awe Bwana na Mwokozi wako.
View attachment 3442615
Your curt repudiation, though perhaps cathartic to your own inclinations, is the rhetorical equivalent of attempting to eclipse the sun with a thimble. The transformative veracity of salvation is neither contingent upon your concurrence nor susceptible to the erosion of casual derision; it is self-authenticating, anchored in an immutable ontological constancy that transcends the ephemeral tides of human opinion. But alas, one cannot fault the blind for failing to appreciate the sunrise.