The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,520
- 122,931
Rubbish.Ah, I see we’ve reached the outer limits of your vocabulary; a lonely little island where ‘Rubbish’ is both king and court jester 😀
Rubbish.Ah, I see we’ve reached the outer limits of your vocabulary; a lonely little island where ‘Rubbish’ is both king and court jester 😀
Mmh, ni lazima uokoke kwanza ili uingie katika ufalme wa Mungu. Nafikiri hujaijua vizuri maana ya kuokoka. Tafadhali soma taratibu uzi huu:mie sijaokoka ila nipo katika Ufalme wa Mungu YEHOVA MUNGU NA KRISTO WAKE
Rubbish.Your lexicon appears tragically impoverished if all rebuttal must be distilled into a solitary, overworked monosyllable!
Sio kweli kwamba kila saa tunazungumzia uchawi na mapepo. Mie nime-post mada nyingi humu za kijamii, za kisiasa, za kibiashara, za kifamilia nk. Ila leo ni siku maalum ya kumpaka matope shetwani. Ni siku ya kuwafumbua macho watu kwamba kuokoka ni "kutamuuu"
Walokole tafuteni kitu kingine cha kuongelea.. nyie kila saa ni uchawi na mapepo.
My friend. Kuna walokole wengi sana hawaendi hospitali, ila huwezi kujua kwa sababu wewe huendi kwenye makanisa ya kilokole wanapotoa shuhuda za uponyaji wa magonjwa. Na sio walokole wote wanaitumia JF.
- Ingekuwa magonjwa yanatoweka kwa kukemea basi walokole wote msingekua mnaenda hospitali.
It is a peculiar irony that in the vast expanse of human expression, you have elected to inhabit a one-word vocabulary — and yet wield it as though it were an unassailable axiom. Alas, repetition is no substitute for reason, and echoing 'Rubbish' ad infinitum does little more than immortalize your own intellectual inertiaRubbish.
Unabii umetimizwa:O.O.O JINA LISILOCHOKA
Mafundisho Yenye Heshima Kutoka kwa Kiongozi Olumba Olumba Obu
“Jina O.O.O husimama kama ishara ya nguvu isiyotetereka, uvumilivu wa milele, na mamlaka ya kimungu. Ni jina ambalo halichoki, haliyumbi, na daima linabaki mshindi.” Kiongozi Olumba Olumba Obu
KULIELEWA JINA LISILOCHOKA
* O.O.O (Olumba Olumba Obu) linawakilisha uwepo wa milele na nguvu za Mungu zilizodhihirishwa duniani.
* Jina hili linaashiria uvumilivu katika majaribu na uthabiti katika imani.
* Ni chanzo cha matumaini na ujasiri kwa wafuasi wote.
MISINGI YA MAANDIKO YA BIBLIA:
* Isaya 40:28 — “Bwana ni Mungu wa milele, Muumba wa miisho ya dunia; yeye hafi nguvu wala hajakauka.”
* Ufunuo 19:16 — “Mfalme wa wafalme, na Bwana wa mabwana.”
* Wafilipi 4:13 — “Nayaweza yote katika yeye anitiaye nguvu.”
* Ezekieli 21:27 (Tafsiri sahihi: Ezekieli 21:27) "Nitaipindua, nitaipindua, nitaipindua. Nayo haitakuwa tena, hata ajapo yeye ambaye ni haki yake, nami nitampa yeye."
MAFUNDISHO KUTOKA KWA KIONGOZI OLUMBA OLUMBA OBU:
1. Jina Ambalo Halichoki Kamwe
“Nguvu ya O.O.O si ya ulimwengu huu; ni ya kimungu na isiyoisha.” Wafuasi hupata nguvu katika jina hili kushinda magumu ya maisha.
2. Jina Linalosimama Kupitia Wakati
* Kwa miongo kadhaa, O.O.O imebaki kuwa mwanga wa ukweli na nuru.
* Ni msingi usiobadilika katikati ya nyakati zinazobadilika.
3. Jina Linalotia Imani na Ujasiri
“Kuliita jina hili huimarisha roho na kufufua matumaini.” Linawapa waumini uwezo wa kuvumilia na kushinda.
JINSI YA KUENENDA KATIKA NGUVU ZA JINA LISILOCHOKA:
| Mazoezi | Matokeo |
|---|---|
| Kuliomba kwa imani | Kupokea nguvu na ulinzi wa kimungu. |
| Kuvumilia katika majaribu | Kushinda changamoto kwa ujasiri. |
| Kutafakari jina hili | Kuimarisha uhusiano wa kiroho na imani. |
| Kuwafundisha wengine kuhusu jina hili | Kueneza matumaini na imani. |
| Kuishi kwa mfano wa O.O.O | Kuiga uvumilivu na utakatifu. |
TAMKO LA MWISHO:
“Jina O.O.O ni mwamba wa milele wa nguvu. Kulitumainia, nawe hutashindwa kamwe.” Kiongozi Olumba Olumba Obu
Magonjwa hayaangalii ulokole. Huo ujinga uliojilisha akilini mwako achana nao.My friend. Kuna walokole wengi sana hawaendi hospitali, ila huwezi kujua kwa sababu wewe huendi kwenye makanisa ya kilokole wanapotoa shuhuda za uponyaji wa magonjwa. Na sio walokole wote wanaitumia JF.
Hata hivyo kwenda hospitali sio dhambi. Ukiponea hospitali, bado tu Mungu anatukuzwa kwa sababu Yeye ndiye aliyeumba ubongo wa madaktari. Mungu ndiye aliyeumba hata hizo chemicals/medicines zinazotumika kutibu watu.
Uko sahihi, hujakosea. Ni kweli magonjwa hayaangalii ulokole. Hata mimi sijasema kwamba walokole hawapatwi na magonjwa, wanaugua, lakini Mungu anatuangalia walokole na kutuponya magonjwa yetu yote.Magonjwa hayaangalii ulokole. Huo ujinga uliojilisha akilini mwako achana nao.
Kabisa uko sahihi ila kuokoka huku ukiwa na mahaba kindakindaki na chama CCM ni kazi bureHii sio chit chat. Nimethibitisha kwa macho na masikio yangu, na kuonja kwa nafsi yangu. Tangu nilipompokea Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wangu, nafaidi utamu huu:
Kama huo sio utamu ni nini?
- Siogopi wachawi wala siogopi kulala kwenye nyumba zenye vibwengo – wachawi wakinijia, nawapiga 'knock out' kwa Jina la Yesu (Isa 54:17).
- Nikiomba napewa – kila sala yangu imekuwa na matunda (Mt 7:7).
- Magonjwa ya zinaa hayanipati ng'oo – uasherati kwangu ni mwii... ni mwiko (1 Kor 6:18).
- Na-save pesa nyingi za matibabu – kwa kuwa magonjwa mengi nayakemea na yanatoweka kwa Jina la Yesu (Isa 53:5).
- Nina amani isiyoelezeka – amani aliyonipa Yesu haipatikani kwa njia nyingine (Yn 14:27). Nina amani hata katikati ya majaribu na dhoruba (Yn 20:19).
- Sipati kamwe hangover ya walevi – furaha yangu haina majuto. Nikifurahi leo, sijuti wala kuona aibu kesho (Flp 4:4).
- Sipatwi na mikosi na mabalaa ya kulogwa – kwakuwa hakuna uchawi unaofanikiwa juu yangu (Hes 23:23).
- Bwana ndiye Mchungaji wangu, hivyo sipungukiwi na kitu (Zab 23:1). Mungu amekuwa akibariki kazi za mikono yangu kila siku mjini na mashambani (Kum 28:3)
- Namshinda shetani na mapepo yake kirahisi kabisa – akiinua kichwa, nambamiza chini na kumtimua kwa Jina la Yesu (Yk 4:7).
- Mungu amenipa maarifa mengi ya kikazi na kimaisha kama alivyofanya kwa Bezaleli(Kut 31:2-5)
- Sina hofu ya kifo – kufa kwangu ni faida (Flp 1:21). Ni faida kwa sababu nikifa nitafufuka tena na kuvishwa taji ya uzima (2 Tim 4:8), katika makao ambayo Yesu alienda kuniandalia mbinguni (Yn 14:2).
Ndugu zangu, shetani ni muongo. Anawashawishi watu wasiokoke ili wakose baraka hizo. Kuokoka sio hadithi, sio kuwa taahira — ni maisha ya ushindi, furaha na uhakika wa uzima wa milele.
Mimi nimeonja, na nimethibitisha mwenyewe kuwa kweli Bwana Yesu ni mwema! (Zaburi 34:8). Na wewe onja leo maisha ya wokovu kwa kutubu dhambi zako na kuziacha, kisha umpokee Yesu moyoni mwako kwa imani, awe Bwana na Mwokozi wako.
Mmh, ni lazima uokoke kwanza ili uingie katika ufalme wa Mungu. Nafikiri hujaijua vizuri maana ya kuokoka. Tafadhali soma taratibu uzi huu:
![]()
Kuokoka ni nini? Walokole wanaposema wameokoka, wanamaanisha nini?
Kama umekuwa ukijiuliza maswali kama hayo, leo ni siku yako ya kujua maana ya kuokoka na pengine ndiyo siku yako na wewe ya kuokoka. Kuokoka ni neno tu la kawaida la Kiswahili lenye maana ya kusalimika au kunusurika kutoka katika janga, maafa makubwa au hatari yoyote inayokuijia. Mfano mzuri ni...www.jamiiforums.com
Tahadhari: Mafundisho ya O. O. O. yanatofautiana sana na mafundisho yanayokubalika, ya Kikristo. Wanaomshabikia wanaweza kupotea kiroho kwa sababu wanamwacha Yesu Kristo na kumsujudia mtu. Hizi ni nyakati za hatari zilizotabiriwa kwamba kutatokea manabii wa uongo na Makristo wa uongo.O.O.O JINA LISILOCHOKA
Mafundisho Yenye Heshima Kutoka kwa Kiongozi Olumba Olumba Obu
“Jina O.O.O husimama kama ishara ya nguvu isiyotetereka, uvumilivu wa milele, na mamlaka ya kimungu. Ni jina ambalo halichoki, haliyumbi, na daima linabaki mshindi.” Kiongozi Olumba Olumba Obu
KULIELEWA JINA LISILOCHOKA
* O.O.O (Olumba Olumba Obu) linawakilisha uwepo wa milele na nguvu za Mungu zilizodhihirishwa duniani.
* Jina hili linaashiria uvumilivu katika majaribu na uthabiti katika imani.
* Ni chanzo cha matumaini na ujasiri kwa wafuasi wote.
MISINGI YA MAANDIKO YA BIBLIA:
* Isaya 40:28 — “Bwana ni Mungu wa milele, Muumba wa miisho ya dunia; yeye hafi nguvu wala hajakauka.”
* Ufunuo 19:16 — “Mfalme wa wafalme, na Bwana wa mabwana.”
* Wafilipi 4:13 — “Nayaweza yote katika yeye anitiaye nguvu.”
* Ezekieli 21:27 (Tafsiri sahihi: Ezekieli 21:27) "Nitaipindua, nitaipindua, nitaipindua. Nayo haitakuwa tena, hata ajapo yeye ambaye ni haki yake, nami nitampa yeye."
MAFUNDISHO KUTOKA KWA KIONGOZI OLUMBA OLUMBA OBU:
1. Jina Ambalo Halichoki Kamwe
“Nguvu ya O.O.O si ya ulimwengu huu; ni ya kimungu na isiyoisha.” Wafuasi hupata nguvu katika jina hili kushinda magumu ya maisha.
2. Jina Linalosimama Kupitia Wakati
* Kwa miongo kadhaa, O.O.O imebaki kuwa mwanga wa ukweli na nuru.
* Ni msingi usiobadilika katikati ya nyakati zinazobadilika.
3. Jina Linalotia Imani na Ujasiri
“Kuliita jina hili huimarisha roho na kufufua matumaini.” Linawapa waumini uwezo wa kuvumilia na kushinda.
JINSI YA KUENENDA KATIKA NGUVU ZA JINA LISILOCHOKA:
| Mazoezi | Matokeo |
|---|---|
| Kuliomba kwa imani | Kupokea nguvu na ulinzi wa kimungu. |
| Kuvumilia katika majaribu | Kushinda changamoto kwa ujasiri. |
| Kutafakari jina hili | Kuimarisha uhusiano wa kiroho na imani. |
| Kuwafundisha wengine kuhusu jina hili | Kueneza matumaini na imani. |
| Kuishi kwa mfano wa O.O.O | Kuiga uvumilivu na utakatifu. |
TAMKO LA MWISHO:
“Jina O.O.O ni mwamba wa milele wa nguvu. Kulitumainia, nawe hutashindwa kamwe.” Kiongozi Olumba Olumba Obu
Eh, hiki kithunguYour curt repudiation, though perhaps cathartic to your own inclinations, is the rhetorical equivalent of attempting to eclipse the sun with a thimble. The transformative veracity of salvation is neither contingent upon your concurrence nor susceptible to the erosion of casual derision; it is self-authenticating, anchored in an immutable ontological constancy that transcends the ephemeral tides of human opinion. But alas, one cannot fault the blind for failing to appreciate the sunrise.