SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,145
- 9,712
Digital Satellite TelevisionStartimes.....itel
Azam.......Infinix🤣
Swali kurupushi!
Dada kirefu cha DSTV n nn?
Hunaga akiliKama hata Dish la kutumia mtu unahitaji ushauri bas safar bado ndefu sana
Huku mmenishauri nitumie dish la DSTV, kwakweli mwana kafurahia sana nasi tumefurahia . Inavipindi vya kidhungu dhungu, unajiona wewe ni wewe tu kati ya majirani wenye azam na startimes.
Startimes ni kama simu za techno au itel , na azam kama infinix , na vitu visivyo na mvuto .
Meaning DSTV ni inaonyesha dunia nzima hadi burudani .
Chukua Na Tv yake u enjy😐Huku mmenishauri nitumie dish la DSTV, kwakweli mwana kafurahia sana nasi tumefurahia . Inavipindi vya kidhungu dhungu, unajiona wewe ni wewe tu kati ya majirani wenye azam na startimes.
Startimes ni kama simu za techno au itel , na azam kama infinix , na vitu visivyo na mvuto .
ILa dstv ni hera yako tu ufurahie mipira , series za njee , za afrika na zauarabuni yaani dstv unapata kila kitu duniani .
Meaning DSTV ni inaonyesha dunia nzima hadi burudani .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huku kwetu katavi tuna Zuku na tunatamb nayo
Vibaya hivyo mdau! Kwani Usukuma umekuwa kiroja bongo?!Azam na the like ni kwàajili ya Wasukuma