Jamani Akina dada wangu tuwe waangalifu na Dawa za Kichina hebu soma hii

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,322
33,126
DAWA ZA KUKUZA MAKALIO ZILINIFANYA NIVIMBEVIMBE OVYO NA HIVYO NIKAAMUA KUACHA"......AUNT LULU



2.jpg


WAKATI wasanii wengi wa tasnia ya bongo movie wakishindwa kueleza ukweli wa mambo juu ya matumizi ya dawa za kukuza makalio na nyingi nezo wanazotumia, msanii wa filamu Lulu Mathias ‘Aunty Lulu, amekili kuwa alijaribu kutumia dawa za kuongeza makalio lakini baada ya kuona baadhi ya rafiki zake wanapata madhara aliamua kuacha.
3.jpg

Mwandishi wetu alimsaka hewani Aunt ili kupata ukweli wa umbo la mwanadada huyo kama ni natural au la na baada ya kumpata, alifunguka na kudai alijaribu kutumia dawa hizo za kukuza makalio lakini baada ya muda baadhi ya rafiki zake ambao walitumia wote walianza kupata madhara kwa kuvimba vimba hovyo kwenye makalio yao, kitu ambacho kilimpa uoga na kuacha kabisa kutumia dawa hizo ingawa aliweka wazi kuwa makalio yake ni makubwa tangu alipokuwa mdogo.

“Makalio yangu ni makubwa tangu nilipokuwa mdogo hivyo watu wanaposema kuwa nilitumia dawa za kuongeza makalio nawaona wajinga, ingawa nilijaribu kutumia baada ya kuona madhara yake ya kuvimba ovyo kwa watu wengine niliamua kuacha kabisa,”
alidai.

 
Huyo Aunty Lulu sio kosa lake kutumia madawa hayo, utafiti mdogo uliofanywa unaonyesha wanawake wengi wakikosa mvuto fulani kwa mfano sura hutafuta mvuto kutoka kwenye kitu kingine kwa mfano makalio, akikosa mvuto kwenye makalio basi atatafuta kwenye mahips nk nk.
 
Huyo Aunty Lulu sio kosa lake kutumia madawa hayo, utafiti mdogo uliofanywa unaonyesha wanawake wengi wakikosa mvuto fulani kwa mfano sura hutafuta mvuto kutoka kwenye kitu kingine kwa mfano makalio, akikosa mvuto kwenye makalio basi atatafuta kwenye mahips nk nk.
Mkuu distazo Sio kutumia Dawa pasipo na ushauri wa MaDaktari Tujihadhari na madawa ya Kichina mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Nimezaliwa flat screen ntakufa hivihivi....mungu hakukoseshi yote ati

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
:tongue::embarassed2::ballchain::smash::washing::focus::hatari::lol::photo::A S embarassed::shock::canada::poa:eyebrows::biggrin::juggle::A S-coffee::nerd::A S 465::rant::spy::director:
 
Tuwaonee huruma maana wakifikisha umri kati ya miaka 40 na 45 watakuwa hawatamaniki kwani nyama zitakuwa zimesinyaa kama mzee wa miaka 80
 
... Huyu hajaanza leo hizo harakati za kukuza makalio. Ameanza hata kabla dawa za mchina hazijafika bongo-kuna watu walimdanganya kuwa kutumia ule mtandao kunaongeza makalio basi naye akaunga tela. Kuja kwa mchina ilikuwa ni ahueni kwake.
 
Back
Top Bottom