Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,912
- 70,668
Jaribia kwa miezi 6 tu utaona mabadilikoUzi wa pili au wa tatu hakika wacha nifanyie kazi huu ushauri.
Jaribia kwa miezi 6 tu utaona mabadilikoUzi wa pili au wa tatu hakika wacha nifanyie kazi huu ushauri.
Walikuwa wakiweka mavi makavu ya ng'ombe! still today kuna wanafunzi vijijin huko wanatumia!Nawaza tu mama zetu kabla ya vyupi walikuwa wanavaa nini kujistiri na vipi kipindi cha hedhi nini kilikuwa mbadala!? [emoji848]