Jamani acheni kuvaa chupi ina madhara

Jamani acheni kuvaa chupi ina madhara

Uzi wa vyupi huu..damn

Wanawake inabidi wavae vyupi ambavyo ni 100% cotton kipindi wapo kwenye mishemishe let say kazini then nyumbani wasivae..

Hivi kipindi cha hedhi pedi watavaaje wakiacha kuvaa chupi??
 
Kama nawaona wale wasiopenda kuvaa viziba utamu jinsi wanavyoufurahia huu uzi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Kwa hyo hata tukiwa period tuache zchululike[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani tena bora hata angekuwa mwanamke mwenzangu ningemuelewa ila ni mwanaume halafu anatushauri wanawake tusivae chupi kwa sababu kama hizo? Hivi anadhani kwa wanawake ni rahisi kutoka bila kuvaa chupi kama ilivyo kwa wanaume?
Point no 6.. imemfanya afanye tafiti zilizompelekea kupata point 1-5[emoji23][emoji23][emoji23]... kama shida ni kubana na joto kwanini asishauri wanawake wasivae nguo nzito za kubana kama jeans?
Chupi hazina shida shida ipo kwenye majeans na manguo ya kubana wanawake wanayovaa.
 
kuwa wanawake wanavaa chupi na bukta.Inakera sana
 
Demu wangu akiingia geto tuu anaivua atavaa siku anaondoka
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji13][emoji13]
 
mkuu sio bure nadhani unabifu na sisi wenye biashara ya kuuza vyupi,sidiria na vishida kwa wanawake!
 
Yaani tena bora hata angekuwa mwanamke mwenzangu ningemuelewa ila ni mwanaume halafu anatushauri wanawake tusivae chupi kwa sababu kama hizo? Hivi anadhani kwa wanawake ni rahisi kutoka bila kuvaa chupi kama ilivyo kwa wanaume?
Anasema mnateseka, huwa zinawawasha na kuwachubua[emoji23][emoji23]
 
Navaaga nikiwa kwenye sayari tu vinginevyo chupi nina uadui nayo sana mwaka wa tatu huu na kuna mabadiliko positive nayafeel
 
mie nikiwa ndani ya kijora au dera sihitaji huo utumwa. Nazivaa kwa kujistiri hedhi tu bas
 
Uzi wa pili au wa tatu hakika wacha nifanyie kazi huu ushauri.
 
Back
Top Bottom