jamani ache Mungu aitwe Mungu

Hivi when do you start growing from the day you are fertilized as an egg ?
As an zygote ?
Kisha life yako for the 9 moons ukaishi kwa kutegemea UMBLICAL CODE ? Umbilical ikawa it pumps blood through the arteries and then back to placenta! Hii ndiyo ajabu yangu kubwa kulikoni !
 
dah, hata me huwa nashangaa sana!
 
Na ushindweeee haachiki mtu hapa,hatulogekiii!!! BADILI TABIA na cacico hebu mwambieni huyu bibie apunguze spidi za kumsalandia mume wetu. Asprin njoo fukuza hii tembele hapa.
mke mwenzangu upo?? nashanga kwa kweli haya mambo! yapo nje ya uwezo wangu nachooookaaaaaaaa, ila kitakachowapata wanga wa ndoa yetu watakuja hadithia hapa, wacha nielekee kimanzi chana kwa babu!
 
mke mwenzangu upo?? nashanga kwa kweli haya mambo! yapo nje ya uwezo wangu nachooookaaaaaaaa, ila kitakachowapata wanga wa ndoa yetu watakuja hadithia hapa, wacha nielekee kimanzi chana kwa babu!

Afazali mwaya nenda, uje utugaie fidibak
 
Wananichokoza honey. Nami sipendi uchokozi. Nyie mwanitosha sijui wananitakia nini? Mwone kama huyu...

uwiii hubby huo ni uchokozi kabisaaaaaaa, kama huyo huna budi kumkagua kwakweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…