hahaha....hivi MadameB ushawahi sikia sauti ya Tyson?...huwezi amini ndio anamiliki ule mwili jumba
duh charminglady umefikiria nini?
anyway mimi kitu kinachonishangaza, hata kuwe na giza vipi,bado mkono haukosei kinywa
Mweeh!
Kuna siku alinipigia simu eti amemaind flag yangu,
nikamchomolea mwenzangu,
kisa cha kuvunjwa ugoko...!!!
Chakufia...akhaa..!!!
Vp sauti yake mwanana?
hahahaa, shikamoo baba. habari za nyumbani? mama hajambo?

Ng'ombe kula majani na kutoa maziwa tu ndipo ninaposhangazika mimi hapo!!!
Au mtoto aanzae kujifunza kuongea kutamka neno 'mmama' badala ya 'bbaba' kwa mara ya kwanza ndipo ninaposhangaa mimi!!
me bado nashangaa mwanangu aliwezaje kukaa ndani ya tumbo langu kwa muda wa miez tisa! dah ni ajabu. . .
pole sana ndugu yangu. Kuna kitu inaitwa 'workers compensation act' kupitia sheria hii atalipwa.Wataalam wa sheria,
Salaam kwenu na poleni na majukumu ya kila siku.
Kuna Dada yangu mmoja mume wake alifariki akiwa njiani kutoka kazini kuerejea nyumbani. Ilikuwa ni mida ya jioni alipokutana uso kwa uso na lori yeye akiwa anaendesha pikipiki. Waligongana kwa kosa la mwenye lori na akafariki hapo hapo. Nimesema kwa kosa la dereva wa lori kwa sababu ndiyo rule ya mahakama na dereva wa lori alikiri hivyo.
Baada ya msiba, mwajiri wa mume wa dada yangu aligharamia sanda, jeneza, shada la maua na usafiri wa magari mawili kwa ajili ya kusafirisha kwenda kwenye mazishi ndugu wa marehemu pamoja na mjane. Pia, mwajiri alitoa rambirambi kama taasisi na michango kutoka kwa wafanyakazi na kutoka kwa makampuni yenye mahusiano na taasisi aliyokuwa anafanyia mume wa dada yangu.
Sasa nachotaka kujua ni je, sheria inasemaje kuhusu fidia ya mwajiri kwa mjane maana marehemu shemeji yangu ameacha familia ikiwa na watoto wanaohitaji matunzo na kusoneshwa. Je, alichotoa mwajiri kinatosha au kuna kingine zaidi ikizingatiwa kuwa marehemu alipata ajali akiwa ametoka kazini kuelekea nyumbani?
Tafadhali wajuzi wa sheria wanisaidie katika hilo ili nami nione ni namna gani tunaweza kumbana mwajiri.
Wataalam wa sheria,

habari zenu binafsi!!!!!
hebu fikiria mifumo yote ya mwili ingekuwa inatoa sauti wakati inafanya kazi, kungekuwa na kelele kiasi gani katka mwili wa binadamu?
1. mfumo wa upumuaji - mffmffmff
2. mfumo wa chakula ukisaga chakula - pokopokopokopo
3. ufumo wa damu ukisafirisha damu - shwaaa a a a a
na mifumo mingine yote! dah ingekuwa kelele ajabu.
hebu tuambie ni kitu gani kinakushangaza wewe?
:biggrin1: eti pokopokopoko yaani topics zako just amaze me
yan na mie namshangaa! hebu tuwaite wakeze waje hapa watuambie. cacico, BADILI TABIA Yummy njoon mtupe majibu huku. . .