CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Kuwepo tu duniani kwanishangaza!!!
habari zenu binafsi!!!!!
hebu fikiria mifumo yote ya mwili ingekuwa inatoa sauti wakati inafanya kazi, kungekuwa na kelele kiasi gani katka mwili wa binadamu?
1. mfumo wa upumuaji - mffmffmff
2. mfumo wa chakula ukisaga chakula - pokopokopokopo
3. ufumo wa damu ukisafirisha damu - shwaaa a a a a
na mifumo mingine yote! dah ingekuwa kelele ajabu.
hebu tuambie ni kitu gani kinakushangaza wewe?
Mie kupendwa na wewe kunanishangaza sana. Hivi unanipendea nini na liuzee langu lote hili?Kuwepo tu duniani kwanishangaza!!!
Asprin mbna umechanganya madesa. hyo post yako peleka jukwaa la sheria. au mning'inio wa match unakusumbua?
Ng'ombe kula majani na kutoa maziwa tu ndipo ninaposhangazika mimi hapo!!!
Au mtoto aanzae kujifunza kuongea kutamka neno 'mmama' badala ya 'bbaba' kwa mara ya kwanza ndipo ninaposhangaa mimi!!
Ng'ombe kula majani na kutoa maziwa tu ndipo ninaposhangazika mimi hapo!!!
Au mtoto aanzae kujifunza kuongea kutamka neno 'mmama' badala ya 'bbaba' kwa mara ya kwanza ndipo ninaposhangaa mimi!!
ulijuaje hubby??? wallah huo ubabu wako, mie kwangu burudaniiiiiiiiiii!Mie kupendwa na wewe kunanishangaza sana. Hivi unanipendea nini na liuzee langu lote hili?
Au ukubwa na mamisuli yote yale ya Nyati au Tembo...siri yake ni kula nyasi lol!
Nani kakupa ruhusa ya kubandika picha yangu?
Jela inakuita nakwambia,
kwanza sensa imekukuta wapi?
Fyatanga,Decca,Rainer,Muarobaini,Kwa Mangi,Vigae au FairWay?
ulijuaje hubby??? wallah huo ubabu wako, mie kwangu burudaniiiiiiiiiii!
Au Tyson na nguvu zake na ubabe wote ule ulingoni,lakini kuna mahala akifika anapanyenyekea kama anaomba uraia.
Chezeiya utamu wewe!!
Sharti la kwanza kama wewe ni mfanyakazi wa ubalozi au una uhusiano na serikali ni lazima uhudhurie. Lakini kinachonishangaza ni kuona baadhi ya watu ambao walikuwa kwenye ufunguzi wa tawi la CDM leo hii wapo hapo, ina maana wamerudisha kadi au wamefuata mnuso?. Dickson vipi mwana Kazima leo hii unatafuta suruali nyeusi na shati la kijani ili kuhudhuria party ya CCM.
Hizi si events za kuhudhuria kwani hela inayotumika hapo ni ya walipa kodi wa Tanzania na hivyo kupata mlo ni sehemu ya kula jasho la watanzania waliopo nyumbani.