can I pm u as well??...........hahaaha jus kiddin ila umenivutia the way ume....Can i be your friend 1st and then later I become your husband???? by then you will have got prent of time to get to know the real me nd I also get to know the person in you, not the one everyone see,
If yes then just inbox me
Kumbe unachagua dini...acha nipite tu!
Nipo serious, ila sasa unachagua dini...acha nipite tu!
A kumbe used tayari!loading........
Makapi. Used mwaka mmoja hukupata mtoto kweli? Au ushazibua?
Amewahi kuishi na kidume mwaka mmoja na zaidi,halafu hasema km aliwahi kuhisi kichefuchefu au laa! Ngoja atapata maused wenzake. Mascraper kamateni fursa hiyo.
If ur real serious ni'pm!
Tuma picha yako hata mi pia nina wazo km lako View attachment 127013
hataki akina ramadhan,
kiukweli mda wangu umefika ss wa kutaka kustick na one guy atakaenipenda nimpende mpaka kufa!sifa awwe anajitambua,smart boy,employed or self employed,hofu ya Mungu ila awe mkristo!nimeshawahi kuwa na mvullana na nikastay naye about a year n above tukaachana!nimekaa mda nafanya mambo yangu ss ule mda wa kuitwa baby na mm nauhitaji na nimemis!