jaman nipo serious i need a man 28 to 30 ma self nipo 25

Can i be your friend 1st and then later I become your husband???? by then you will have got prent of time to get to know the real me nd I also get to know the person in you, not the one everyone see,
If yes then just inbox me
can I pm u as well??...........hahaaha jus kiddin ila umenivutia the way ume....
 
pole mpendwa, wazo lako sio baya ila unafikiri kijana utakayempata hapa atakuwa na haja kama ya kwako? kwasababu haumjui mwema ni yupi, kwa kufanya hivi siutakuwa wewe ndio umemshawishi kijana akuoe? je, mwisho wake unafikiri utakuwaje? Mpendwa wazo langu ni hili tambua hatua unayoiendea ni hatua kubwa ktk maisha na ndiyoitakayo changua uwe mzazi wa namna gani. haiwezekani nikaja kwako leo nawewe ukanikubalia kuwa mumeo, namanisha mke/mume hatoki mbali yaani lazima ww au rafiki zako au ndugu zako wawe wanamfahamu tabia yake, je' kwa hapa unaweza kumfahamu mtu tabia yake kweli. Mimi naona kama kwa hapa unataka kuyachezea maisha yako kamari

kuwa makini mpendwa, na
umtangulize MUNGU.
 
Bint nina sifa zote hizo,nitafute ila uwe tayari kuishi maisha Maombi maana mi mkristo kwl kwl,km uko poa ni Pm
 
sasa nyie mnaojishaua hapa awapm awafanyaje..!!!na wengine mnakazana email? Thats sound so ''funny like'' cos kama upo serious hakuna haja ya kupayuka hapa.. Go direct kwa uko pm kwake! Kwa faida yako! Unaweka na namba ya simu ama adress mwisho utukanwe na wanaume wenzio af uje uanzishe uzi!
Nb mdada tupe feedback basi!maana nmefatilia uzi wako toka day1.. Majibu ni haki... Lol
 
Amewahi kuishi na kidume mwaka mmoja na zaidi,halafu hasema km aliwahi kuhisi kichefuchefu au laa! Ngoja atapata maused wenzake. Mascraper kamateni fursa hiyo.

Utoto unakusumbuwa ukikuwa utayaelewa maisha.

Kumbuka hata Mama yako aliyekuzaa Baba yako akifa watu wanaoa vilevile. Acha kashfa kid.
 
Bi shost tupe mshindo nyuma uko PM vp kumeeleweka?tunaomba kujua eti uwiiiii ni kilanga mweeeee
 
Mashine hiii imetumika sana duuuuu mpaka imechoka sasa inatafuta pa kupumuzikia
hata atakayeinunua awe na roho kweli mtaani imejitangaza vya kutosha mpaka imeingiza tangazo kwenye mitandao ya kijamii atakayeinunua awe makini
kiukweli mda wangu umefika ss wa kutaka kustick na one guy atakaenipenda nimpende mpaka kufa!sifa awwe anajitambua,smart boy,employed or self employed,hofu ya Mungu ila awe mkristo!nimeshawahi kuwa na mvullana na nikastay naye about a year n above tukaachana!nimekaa mda nafanya mambo yangu ss ule mda wa kuitwa baby na mm nauhitaji na nimemis!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom