Jaman nimefika.

Duh! Humu ndani kweli si mchezo,home of great thinkers,nimekuja ndg zangu nipokeeni.
Karibu sana mchumi!
Vp na wewe leo unaenda kumzika hayati Kanumba?
Maana serikali yote imehamia msibani.
Binafsi siendi!ntakua na kazi nyingi pale dodoma mjengoni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom