Jaman msaada wa proxy

baraka607

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
844
165
Habari wakubwa!
Naomben msaada wa proxy' mwenye nazo afanye kuniPM si unajua hapa jamaa hawachelewi kuzinyaka. Naomben msaada wakubwa.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Proxy ni haki yako na huwezi kunyakwa

31.193.139.10 port 80

216.155.153.105 port 80
 
Chief-mkwawa imekataa koz nimeweka kila kitu poa ila naona haifungui. Labda kama kuna changes au jinsi nyingine ya kuconnect unielekeze jamaa angu.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Chief-mkwawa imekataa koz nimeweka kila kitu poa ila naona haifungui. Labda kama kuna changes au jinsi nyingine ya kuconnect unielekeze jamaa angu.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
proxy zipo mzee sema hazitolewi kirahisi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom