Jaman mbona sasa ananitesa.


umesomeka mdada ushauri wako binafsi unanihusu nina mmoja huyo ana sifa zote ulizotaja hapo akibeep ukipiga analia shida mwanzo mwisho inabidi nichukue uamuz mapema ukizingatia we mwenyewe mdada
 
Fanya kila linalowezekana mtafune kupunguza machungu kisha piga chini!!
Kapo kengine pale IFM kalikuwa na katabia hako kila siku kanaomba vocha na mie sina hiana nakapiga vocha ya 40,000/= kila baada ya siku mbili, halafu kanabp kishenzi nikiomba game kanajifanya yani "sweet nipo bize kweli nikipata nafasi nitakwambi"

Nikafikiria namna ya kukakomoa
Nikakatumia sms kuwa baby nimekununulia laptop na ninataka nikufungulie accont ya bank naomba keshesho nipate faragha ya kuwa na wewe kipenzi nionyeshe hisia zangu, na nitakupa poketi manei ya laki tano kwaku kesho kutwa na safiri!!

Huwezi amini kesho yake mtoto saa kumi nambili amepiga simu kuwa keshajiandaa wapi tutaonana!
Yani nilimpiga mpini wahaja balaaa na hakupata chochote baada ya hapo kila baada ya siku mbila ananiletea mwenyeweee napiga paipu na hakuna cha vocha wala laptopu au account!!
Mpaka sasa hivi namkimbia maana amekuwa addicted na mpini wangu!!
 
lazima yamekukuta the way unavyong'aka du!!

No hayajanikuta,i was lucky having a mentor when i started the game.....it irritates me seeing someone repeating same mistakes again and again,smart people learn from their mistakes........sasa huyu jamaa ana loose control.......he is clingy!
 
Hapo hapendwi m2, inapendwa pesa yako tu. Kuna mwingine anayependwa, wewe unashikilia pembe, mwenzio anakamua. Stuka!!! Chukua tahadhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…