<br />Nimeletewa hio message na watu wawili... fortunately hawajui kiingereza hivo walitaka watafsiriwe... naamini kabisa wangekua wameelewa wangeingia mkenge maana watu wa vijijini weengi bado hawajasikia utapeli wa hivi...
<br />jamani, THERE IS NO FREE LUNCH!!! kama ni lottery lazma waitangaze na uchangie! sijui nijiunge na utapeli,yaani kuna watu bado wanaamini hizi,kha!