Jaman hivi hawa wadada wana tabia gani?

Jaman hivi hawa wadada wana tabia gani?

Jipige makofi kwanza kama kumi,yan wewe machinga alafu wamuandaa msomi aje kuwa mmeo
 
Pole sana... inahuzunisha sana...

Mruhusu tu amkubalie huyo jamaa wa chuo, kama hajaanza kupauka...

Cc: mahondaw
 
Acheni kuingilia majukum ya wazazi, mtajinyonga bure
 
Habari za siku nyingi wadau?

Niende all the way kwenye mada. Mimi ni mfanyabiashara mdogo mdogo (machinga). Kiufupi kuna binti wa chuo nilikuwa namlipia kuanzia ada, hostel na kumsaidia kila kitu kwenye masomo yake, kuanzia mwaka wa kwanza mpaka sasa anakaribia kumaliza mwaka wa tatu.

Cha ajabu hivi karibuni amechange ghafla baada ya kuniomba laki 5 nikamuambia anivumilie kama wiki moja hivi, anadai eti nimepunguza mapenzi kwake eti simjali sana kama zamani, bora hata amkubalie yule mtu anayesoma nae chuo labda anaweza kuwa mtu sahihi kwake.

Anasema mimi niendelee na mchepuko wangu. Kiukweli sijawahi kulia kwa sababu ya mwanamke ila jana nimelia kwa mara ya kwanza, hasa nikifikiria gharama nilizotumia hapo awali, kwani nilikuwa zaidi ya mzazi wake.

Najuta kwanini nilimfahamu huyu mdada, naombeni ushauri wenu wadau nimfanyeje huyu mtu?
Due dilligence ya haraka haraka imeonyesha hii story ni chai chungu... maana story zako za humu zimejaa inconsistencies na nyingi ni za uongo uongo
Screenshot_2019-10-27-21-31-40.jpeg
Screenshot_2019-10-27-21-30-33.jpeg
Screenshot_2019-10-27-21-30-03.jpeg
 
Unamlipia ada ili akupende au kumsaidia tu?
 
Magunia manne ya mkaa!

Wewe huna mdogo wako ukamsomesha?! Huna wazazi ukawapa hizo hela?! Unachukua jukumu la kulea mke wa mtu kama nani?! Unamsomesha mtoto wa mwanaume mwezio?!

Alichokifanya sio sahihi, lakini wewe ulichokifanya sio sahihi zaidi!
[emoji23][emoji23][emoji23]

Kabeba majukumu ya mzazi kila siku wanaambiwa humu na wanaume wenzao mchumba hasomeshwi

Mchumba ukitaka kumsomesha msomeshe ufundi cherehani tu [emoji1732][emoji1732]
 
Jamaa dhaifu sana,ndio kitu cha kukuliza hicho,wenzio tunaitwaga kuwa wake zetu wako na watu fulani gesti,tunaenda na tunakula chabo tukishuhudia wake zetu wanavyoliwa ha hatulii bali tunawapongeza
 
Habari za siku nyingi wadau?

Niende all the way kwenye mada. Mimi ni mfanyabiashara mdogo mdogo (machinga). Kiufupi kuna binti wa chuo nilikuwa namlipia kuanzia ada, hostel na kumsaidia kila kitu kwenye masomo yake, kuanzia mwaka wa kwanza mpaka sasa anakaribia kumaliza mwaka wa tatu.

Cha ajabu hivi karibuni amechange ghafla baada ya kuniomba laki 5 nikamuambia anivumilie kama wiki moja hivi, anadai eti nimepunguza mapenzi kwake eti simjali sana kama zamani, bora hata amkubalie yule mtu anayesoma nae chuo labda anaweza kuwa mtu sahihi kwake.

Anasema mimi niendelee na mchepuko wangu. Kiukweli sijawahi kulia kwa sababu ya mwanamke ila jana nimelia kwa mara ya kwanza, hasa nikifikiria gharama nilizotumia hapo awali, kwani nilikuwa zaidi ya mzazi wake.

Najuta kwanini nilimfahamu huyu mdada, naombeni ushauri wenu wadau nimfanyeje huyu mtu?
hakuna anayehitaji ushauri hapo. Unatuzuga Bro
 
Ukimuhuku utahukumiwa, msaidie amalize tu, umpotezee!!
 
Back
Top Bottom