Jaman hivi hawa wadada wana tabia gani?

Jaman hivi hawa wadada wana tabia gani?

functional

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2018
Posts
738
Reaction score
795
Habari za siku nyingi wadau?

Niende all the way kwenye mada. Mimi ni mfanyabiashara mdogo mdogo (machinga). Kiufupi kuna binti wa chuo nilikuwa namlipia kuanzia ada, hostel na kumsaidia kila kitu kwenye masomo yake, kuanzia mwaka wa kwanza mpaka sasa anakaribia kumaliza mwaka wa tatu.

Cha ajabu hivi karibuni amechange ghafla baada ya kuniomba laki 5 nikamuambia anivumilie kama wiki moja hivi, anadai eti nimepunguza mapenzi kwake eti simjali sana kama zamani, bora hata amkubalie yule mtu anayesoma nae chuo labda anaweza kuwa mtu sahihi kwake.

Anasema mimi niendelee na mchepuko wangu. Kiukweli sijawahi kulia kwa sababu ya mwanamke ila jana nimelia kwa mara ya kwanza, hasa nikifikiria gharama nilizotumia hapo awali, kwani nilikuwa zaidi ya mzazi wake.

Najuta kwanini nilimfahamu huyu mdada, naombeni ushauri wenu wadau nimfanyeje huyu mtu?
 
Habari za siku nyingi wadau?,,,, niende all the way kwenye mada, Mimi ni mfanya biashara mdogo mdogo (machinga) kiufupi kuna binti wa chuo nilikuwa namlipia kuanzia ada, hostel, na kumsaidia kila kitu kwenye masomo yake, kuanzia mwaka wa kwanza mpaka sasa anakaribia kumaliza mwaka wa tatu, cha ajabu hivi karibuni amechange gafla baada ya kuniomba laki 5 nikamuambia anivumilie kama wiki moja hivi,, anadai eti nimepunguza mapenzi kwake eti simjali sana kama zaman, bora hata amkubalie yule mtu anaesoma nae chuo labda anaweza kuwa mtu sahihi kwake, anasema me niendelee na mchepuko wangu, kiukweli sijawahi kulia kwasababu ya mwanamke ila jana nimelia kwa mara ya kwanza, hasa nikifikiria gharama nilizotumia hapo awali, kwan nilikuwa zaidi ya mzazi wake, najuta kwann nilimfahamu huyu mdada, naombeni ushauri wenu wadau nimfanyeje huyu mtu.?
Mchumba asomeshwi
 
Magunia manne ya mkaa!

Wewe huna mdogo wako ukamsomesha?! Huna wazazi ukawapa hizo hela?! Unachukua jukumu la kulea mke wa mtu kama nani?! Unamsomesha mtoto wa mwanaume mwezio?!

Alichokifanya sio sahihi, lakini wewe ulichokifanya sio sahihi zaidi!
 
Pole sana mkuu, hela na ghalama ulizotumia ungenunua ng'ombe mpaka leo ungekuwa unakamua maziwa.
Ila kwakuwa ni mwanamke, hupati faida yoyote, tena ukute hata kugegeda kwenyewe ilikuwa kwa ratiba mbovu (ratiba ndefu, mfano kwa mwezi mara moja, au hata mwezi unapita bure)
Ukikaa baadae kwa kutulia, unaweza ukawaza na kufikiria mpaka upuuzi.
Umemuhudumia kuanzia mwaka wa kwanza chuoni mpaka sasa anaenda kumaliza mwaka wa tatu.
Upuuzi unaoweza kufikiria hapo ni kama; Zile hela zote si bora ningeweka oda ya supu ya kuku mzima kila asubuhi?
Sasa ukimuangalia ulipomtoa mpaka hapo mlipo umemendezesha mwenyewe, sasa anaenda kuliwa nje, hapo ndipo risasi tatu au gunia za mkaa hupata matumizi.
 
Yaani mkuu inauma sana

Kuanzia sasa zichange hizo hela ulizokua ukimpa na nunua bastola
 
Nipo tu hapa, kila mwanamke ninaekutana nae njian namuona kama adui yangu.
Magunia manne ya mkaa!

Wewe huna mdogo wako ukamsomesha?! Huna wazazi ukawapa hizo hela?! Unachukua jukumu la kulea mke wa mtu kama nani?! Unamsomesha mtoto wa mwanaume mwezio?!

Alichokifanya sio sahihi, lakini wewe ulichokifanya sio sahihi zaidi!
 
Magunia manne ya mkaa!

Wewe huna mdogo wako ukamsomesha?! Huna wazazi ukawapa hizo hela?! Unachukua jukumu la kulea mke wa mtu kama nani?! Unamsomesha mtoto wa mwanaume mwezio?!

Alichokifanya sio sahihi, lakini wewe ulichokifanya sio sahihi zaidi!

Aisee
 
Unakwama wapi?

Mfyetue kichwa ukiwa umeshalewa ili sasa tuje tukusaidie kutengeneza kei ya kuua bila kukusudia, upewe kifungo cha nje kama lulu baada ya mwaka 1
Au sijui nimtumie mashetan?
 
Back
Top Bottom