Jaman hivi hawa wadada wana tabia gani?

Jaman hivi hawa wadada wana tabia gani?

Pole. Mwambie amkubalie huyo anaesoma nae. Wadada wa chuo wanakua hawana akili ngoja amalize chuo asote mtaani mwaka tu atakukumbuka.
 
Kaa naye chini ongea naye vizuri,ujue mbichi na mbivu. Inawezekana anakupenda na aliyoyatamka ni hasira tu.
Kama atasema it's over, wewe just accept it, and move the facking on. Hizo hela ulizomgaharimia ukiamua kuzitafuta naamini haikuchukui hata miezi sita unazipata.
 
Kijana mbona kila siku kauli mbiu yetu wanaume inayosema mwanamke hasomeshwi huwa usikii aisee, juzi tu jamaa kamzibua risasi ya kichwa kule tunduru mambo ayo ayo ya kusomesha tubadilike wanaume yani wewe unafanya kazi ya baba yake uyo demu kumsomesha tubadilike wanaume
 
Ulitoa kwa upendo. Hakuna madai. Shika 50 zako.
 
MCHUMBA HASOMESHWI, UTAKUJA KUJiNYONGA BURE (Anonymous)
Hapo ukute mdogo wako wa kike umeshindwa kumsomesha, mama yako hata kanga ya kuvaa hana. Kama ulikuwa unataka mke ungetafuta aliye tayari kuolewa na mwenye vigezo vinavyokaribia unavyovitaka kidha unaoa lakini wewe ukachagua kuingiza siasa katika mapenzi.
Ukifanya makosa mara nyingi hadi muda upite ndio utajua lakini ukiambiwa ns wanaoona mbele kabla hukubali.
Songa mbele
 
Back
Top Bottom