Jaman hivi hawa wadada wana tabia gani?

Jaman hivi hawa wadada wana tabia gani?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Pole na uache kiherehere Cha kuvamia majukumu yasiyokuhusu
 
Habari za siku nyingi wadau?

Niende all the way kwenye mada. Mimi ni mfanyabiashara mdogo mdogo (machinga). Kiufupi kuna binti wa chuo nilikuwa namlipia kuanzia ada, hostel na kumsaidia kila kitu kwenye masomo yake, kuanzia mwaka wa kwanza mpaka sasa anakaribia kumaliza mwaka wa tatu.

Cha ajabu hivi karibuni amechange ghafla baada ya kuniomba laki 5 nikamuambia anivumilie kama wiki moja hivi, anadai eti nimepunguza mapenzi kwake eti simjali sana kama zamani, bora hata amkubalie yule mtu anayesoma nae chuo labda anaweza kuwa mtu sahihi kwake.

Anasema mimi niendelee na mchepuko wangu. Kiukweli sijawahi kulia kwa sababu ya mwanamke ila jana nimelia kwa mara ya kwanza, hasa nikifikiria gharama nilizotumia hapo awali, kwani nilikuwa zaidi ya mzazi wake.

Najuta kwanini nilimfahamu huyu mdada, naombeni ushauri wenu wadau nimfanyeje huyu mtu?
mambo mbona easy sana gonga sumu tu utulie kwa jeneza
 
Magunia manne ya mkaa!

Wewe huna mdogo wako ukamsomesha?! Huna wazazi ukawapa hizo hela?! Unachukua jukumu la kulea mke wa mtu kama nani?! Unamsomesha mtoto wa mwanaume mwezio?!

Alichokifanya sio sahihi, lakini wewe ulichokifanya sio sahihi zaidi!
Nina bunduki yangu aje nimwazimishe akamalize kabsa chenji yake." Mchumba hasomeshwi"
 
Kama ni kusomesha mwanamke angalau uwe umemzalisha, hata akikukimbia matunda atakula mwanao.
 
Kumjua mwanamke ni jambo gumu sana. Hata ummsome yeye tu kwenye somo moja bado tu hutaweza kumfahamu.
Nikusaidie tu, mwanamke anafocus on present, not past or future.
kama umepunguza matumizi kwake, ilihali ulikuwa unamtimizi hata umwambie hali ngumu hata kuelewa
 
Magunia manne ya mkaa!

Wewe huna mdogo wako ukamsomesha?! Huna wazazi ukawapa hizo hela?! Unachukua jukumu la kulea mke wa mtu kama nani?! Unamsomesha mtoto wa mwanaume mwezio?!

Alichokifanya sio sahihi, lakini wewe ulichokifanya sio sahihi zaidi!
Umekuwa na kauli kavu yenye hisia sana. Ila angeweka na ka clip ka kulia tuone namna alivyotoa machozi ningejua cha ku comment but anyway, nakubaliana na wewe. Wote wamekosea ila mwanaume ye ndo amevuruga kabisa.
 
Yaan hapo kitu ulijichanganya ni kuchukua jukumu la mzazi uku pesa ya kupima kwa kijiko, yaan kitachokuuma apo ni pesa tu sio penzi, pole sana
 
Back
Top Bottom