Steven Robert Masatu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2009
- 2,458
- 1,826
Mmmmh nothing just casual mitng lol!!
yalaaaaaaaaaa!!!!! aibu tupu hapa!!! mwana ebu washa gari la mke wako na kwenda huko bagamoyo ukamchukuwe huyo wife wako....hapa hakuna jema litakalotokea!!! TENA HARAKA SANAAAAAAAAAAAAAA
mkuu mmi naifaham fesibuku yani had ssa mkeo yupo kibra tiari..................huhswala hili hatuwezi kulichukulia kwa tafsiri tofauti na jambo baya.?
Kwa kweli nimesoma link nimekumbuka ile thread duu The One embu simama wima kuwa ngangari kwa huyo mkeo, naona kakupanda hadi kichwani, vikundi gani bana vya facebook, kama mie hata nisingethibutu kusema, labda ningeenda kimyakimya kama kweli kina umuhumuThe one samahani kama nitakukwaza but bana post zako kuhusu huyo wife zimevuka mpaka... Hujaonesha Uanaume wako kwake... Ingekua hii ni issue ya kwanza ningesema kua ni kawaida, na kweli ni nzuri yeye kukutana na watu wengine... Sasa naona kaondoka na gari ambalo ulilinunua baada ya kung'ang'ania kwenda na lile la kwanza wakati wa ufyele... Mie nashangaa hata walalama wakati inaonesha dhahiri umemuachia huru saana katika maamuzi ambayo hua hakuhusishi wewe.... Kama umesahau kwa nini nasema hiivo angalia huu uzi wako LINK
Kwa kweli nimesoma link nimekumbuka ile thread duu The One embu simama wima kuwa ngangari kwa huyo mkeo, naona kakupanda hadi kichwani, vikundi gani bana vya facebook, kama mie hata nisingethibutu kusema, labda ningeenda kimyakimya kama kweli kina umuhumu
The one samahani kama nitakukwaza but bana post zako kuhusu huyo wife zimevuka mpaka... Hujaonesha Uanaume wako kwake... Ingekua hii ni issue ya kwanza ningesema kua ni kawaida, na kweli ni nzuri yeye kukutana na watu wengine... Sasa naona kaondoka na gari ambalo ulilinunua baada ya kung'ang'ania kwenda na lile la kwanza wakati wa ufyele... Mie nashangaa hata walalama wakati inaonesha dhahiri umemuachia huru saana katika maamuzi ambayo hua hakuhusishi wewe.... Kama umesahau kwa nini nasema hiivo angalia huu uzi wako LINK
Huyu samaki alitakiwa akunjwe angali mbichi sasa keshaakauka...
Ila kina dada pia muwe na huruma haswa unapopata mr Yes madam maana wengi wenu hujikuta mnamnyanyasa mwanaume kisa upole au uhuru anaokupa... Tatizo la wanaume wa dizaini hii akisema basi hata lije greda huwa hawageuki nyuma.