barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,375
- 29,729
Yaani leo unataka kombe liwepo Kirumba na Taifa? Namaanisha ile ndoo yenyewe? Yaani Taifa unaweka replica eti simba nayo ina chansi ya kuchukua? Hii sasa ni dharau unataka kutuletea Simba. Peleka vikombe vyako vyote Kirumba hata kama kimahesabu Simba ana nafasi ya kubeba kombe ila kiuhalisia nafasi hamna.
Peleka tujivikombe twako Kirumba huko.
Peleka tujivikombe twako Kirumba huko.