Jamal Malinzi akubali kuachia ngazi TFF

Jamal Malinzi akubali kuachia ngazi TFF

malipo hapahapa duniani , aende zake huko, aseme tu wanayanga na wanakagera na sio kusema anawaaga wanasoka
 
Alikuwa sehemu ya mtandao wa upigaji pesa wa ccm. Nilikwisha andika "hakuna ufisadi nje ya ccm". Sasa inajidhihirisha!
Tuendelee kusubiri.........!? Tutaona na kusikia mengi ya wanaccm!
 
Nakumbuka tulipiga kelele uongozi wa tenga ila ila afadhali ya tenga some how alikuwa better! TUnahitaji uongozi mzuri wenye dira dira nzuri! POle malinzi! i hope umejifunza sasa!
 
Back
Top Bottom